Mfumuko wa bei kabla ya bajeti | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mfumuko wa bei kabla ya bajeti

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Deofm, May 1, 2012.

 1. D

  Deofm JF-Expert Member

  #1
  May 1, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 383
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wadau hali kwa sasa inatisha sana, Nimelazimika kuacha kunywa bia, soda na juyce kutokana na bei zake kupanda ghafla kabla hata mshahara haujabadilika. Hata maji inabidi nichemshe haya yakawaida kwani kunywa maji ya chupa ni anasa. hebu fikiria mshahara sh. 300,000/= kwa mwezi, wastani wa msimbazi kwa siku. bajeti yake ni lazima ukune kichwa.
   
Loading...