Natafuta fundi cherehani mwenye uzoefu kushona nguo aina mbali mbali na kudarizi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta fundi cherehani mwenye uzoefu kushona nguo aina mbali mbali na kudarizi

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Mbwambo, Apr 30, 2012.

 1. M

  Mbwambo JF-Expert Member

  #1
  Apr 30, 2012
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  Nina Fremu ambayo atakuwapo mdogo wangu fundi mwanafunzi ambaye bado hajawa mtaalamu hasa na kupata ozoefu baada ya kumaliza kusoma
  NATAFUTA FUNDI MWENYE UZOEFU ILI TUPATANE AKAE KWENYE FREMU YANGU KWA KUFANYA KAZI NA KUMPA OZOEFU MDOGO WANGU
  ASANTE
  PIGA SIMU NO. 0713 - 68 96 65
   
 2. S

  Sometimes JF-Expert Member

  #2
  May 1, 2012
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 4,567
  Likes Received: 361
  Trophy Points: 180
  Kwa maneno mengine huyo fundi mzoefu unamwajiri kwa ajili ya kufanya kazi au kumpa uzoefu huyo mdogo wako!
   
 3. M

  Mbwambo JF-Expert Member

  #3
  May 2, 2012
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  kwa vile fremu ya biashara au chumba au ofisi ya kufanyia kazi itakuwa yangu mimi sitamlipa badala yake kile atakachokuwa anapata mimi na yeye tunagawana
  nadhani nimeeleweka sasa
  chumba cha biashara hatalipa kodi yeye
   
Loading...