Meneja/Afisa utumishi!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Meneja/Afisa utumishi!!!

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Akili Unazo!, Jul 28, 2009.

 1. Akili Unazo!

  Akili Unazo! JF-Expert Member

  #1
  Jul 28, 2009
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 2,823
  Likes Received: 2,538
  Trophy Points: 280
  wakuu naomba mnisaidie majukumu ya hawa watu wawili juu ya wafanyakazi na mwenye kampuni/firm fulani.

  Nimeileta hii maada kwa kuwa kila kunapotokea kuna mgomo kampuni fulani utakuta/kusikia chanzo ni hawa watu wawili.

  Je hii ni kwa sababu wafanyakazi hawajui majukumu husika ya hawa watu au ni kwakuwa hawa watu hawajui wanatakiwa kuwatendea nini wafanyakazi zaidi ya kuwaadhibu na kuwapa onyo kwa ajili ya kutetea chakula/posho yao.
   
 2. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #2
  Sep 7, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  huu mziki mzito hata mm inanigonga sana kichwa hii
   
 3. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #3
  May 2, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  wadau changieni basi topic hii
   
Loading...