internet ya bei nafuu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

internet ya bei nafuu

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by dalu, May 1, 2012.

 1. d

  dalu Member

  #1
  May 1, 2012
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  salam wadau,mtandao gani kwa tanzania internet yake ni nafuu na huduma iko vizuri?hii yote inatokana na airtel kutukatili bundle yetu ya 400 MB kwa 2500.asante
   
 2. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #2
  May 1, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  hakuna rahisi mkuu zaidi ufunge mkanda tu na hiyo airtel ya saa 24 zaidi ya hapo toa 30K kama unayo kwa mwezi..
   
 3. d

  dalu Member

  #3
  May 1, 2012
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sawa mkuu hapo kweli bora punda afe ila mzigo ufike
   
Loading...