Naam ili watu waweze kulipa kwa uwazi zaidi.
Hii ni kutokana na serikali kuziba njia zote za kupiga deal....sasa kwa hali hii ya ushuru huu tulio nao.. watu watafunga shughuli ......................
Habari wapendwa napenda sana kupitia jf inanifunza mengi sana kuliko kupoteza muda whatapp au insta.mimi ni mfanyabiashara mdogo huwa nauza mitumba tafadhali anaefahamu wapi naweza kupata mabaibui...
Hapa siongelei kilimo cha eka mbili tatu hapa nazungumzia kilimo cha kufa mtu kama wanavyofanya USA, Australia na nchi zinginezo
Swali Kwa nini wafanya biashara wakubwa kama akina Mohammed...
Natafuta kuingia katika biashara na Kampuni iliyo safi ya Kukodisha Magari, nataka tufanye wote hii biashara pamoja. Tuwasiliane Tafadhali
+255769711544
Natafuta kuingia katika biashara na Kampuni iliyo safi ya Kukodisha Magari, nataka tufanye wote hii biashara pamoja. Tuwasiliane Tafadhali
+255769711544
Wadau,
Mnielimishe kuhusu jambo hili la kibiashara. Nimeanza kutengeneza bidhaa za matumizi ya nyumbani ili kuinua maisha yangu.
Nimepata wateja wa supermarkets ambao wamezipenda na wangelitaka...
Salaam wakuu
mimi ni kijana niliyekutana na mkanganyiko kidogo kwenye familia yangu
lakini nimegundua ukweli kuhusu nasaba yangu zaidi upande wa majina mwanzo nilikuwa naitwa WALED lakini...
Kwa hakika suala la kuhifadhi pesa ili nifanyie uwekezaji imekua ni suala gumu sana kwangu kwani kila nikiwa na kiwango fulani cha fedha kwenye akaunti nakuwa na msukumo mkubwa wa kutumia hiyo...
habari za hapa jf, ninahitaji kuku wa kienyeji/chotara wale ambao ndio kwanza wameanza kutaga au ambao wamebakiza kama wiki 3 waanze kutaga. niko maeneo ya Airport DSM. naomba kuwasilisha.
Leo nimepita mitaa ya kurasini-tmk nikaenda kukagua mradi wa daraja la kigambon nimeona linakaribia kumalizika pia nikaona nishare na nyie wadau wangu!
#ilovetznchiyangu
Wanajamvi naomba ushauri wenu! Nina rejesho la mkopo ACB ambalo toka awali nikipewa mkopo nilishtuka kuwa itakuwa shida, ikanipasa kuchukua kwani nililazimika kwani muda wote wa miezi 4 nafuatilia...
Wana jf, naombeni msaaada wa biashara gani inafaaa? kufanya...! nna mtaji wa kama m5 hivi bt stil sijajua ni bzness gani nitafanya...msaada wa mawazo jamani.
je ni vitu gani hasa nitahitaji maana ni grosery ndogo tu sio kubwa sana wazoefu walioko humu ushauri wenu utakua msaada sana.. chochote unachojua kuhusu biashara hii kitakuwa msaada tosha kwangu...
Habari asubuhi wanajamvi, kuna ndugu yangu anahitaji kwenda Uturuki kuchukua furniture na pia kucheki bidhaa toufauti za kuja kuuza huku kwetu sema anahitaji invitation letter kutoka kwa kampuni...
Here’s the market outlook for the week:
EURUSD
Dominant bias: Bullish
EURUSD moved upwards by 230 pips last week, topping at the resistance line of 1.1350, before the current bearish...
Wanajamvi naombeni kujua risk za kuwatumia madalali katika biashara hususani ya kuingiza mazao kama vile ndizi na viazi kutoka mkoani kuleta dar es salaam
Habari JF,
Leo nimeona nitoe maoni yangu katika hili suala la ujasiriamali nikiwa pia mjasiriamali mdogo ninayezikimbiza ndoto zangu.
Mimi ninaongelea suala la ubunifu linalobebwa na ujasiri...