Muonekano mpya wa Daraja la Kigamboni hili hapa

Mkalibari

JF-Expert Member
Mar 20, 2012
659
399
Leo nimepita mitaa ya kurasini-tmk nikaenda kukagua mradi wa daraja la kigambon nimeona linakaribia kumalizika pia nikaona nishare na nyie wadau wangu!

#ilovetznchiyangu
 

Attachments

  • 1455282373368.jpg
    1455282373368.jpg
    58 KB · Views: 74
  • 1455282419862.jpg
    1455282419862.jpg
    47.9 KB · Views: 70
  • 1455282692273.jpg
    1455282692273.jpg
    47.5 KB · Views: 68
Sema hivi uliopita kurasini kujionea daraja la kigamboni Sio kuwa ulienda kukagua. Unakagua wewe nani? Ukigundua kunamakosa unachukua hatua gani ?.... Acheni ulevi

Kikubwa taarifa. Hujaipenda ama haikuhusu, unapita kimya tu ndugu yangu. Vinginevyo utapata shida sana humu jf!.
 
Back
Top Bottom