Msaada kurenew leseni ya biashara.

jembelamkono

JF-Expert Member
Nov 19, 2015
2,733
2,011
Naomba kujuzwa taratibu za kupata leseni mpya ya biashara baada ya leseni ya awali kua imekwisha muda wake.
Msaada kwa wenye uzoefu tafadhali.
 
Mkuu inabidi uwanzie TRA upatiwe tax clearence ya uthibitisho hudaiwi na TRA then ndio uwende manispaa nakuweza kurenew leseni yako vinginevyo itakuwa kazi bure hali sasa hivi imebadilika tofauti na awali leseni ikiisha inaenda kurenew moja kwa moja manispaa.
Kwa msaada na maelezo saidi contact : 0785-074040
 
Back
Top Bottom