Posho City
JF-Expert Member
- Mar 15, 2012
- 648
- 416
Kama kuna mtu anauza meza ya ndani kwa bei za kwetu walalahoi basi anijulishe hapa nahitaji.....nipo Dar Tabata.
Mkuu nakuomba ujiunge nasi ktk Whatssap group la Biashara na wajasiriamali utapata unachotaka nakujifunza mengi plizKama kuna mtu anauza meza ya ndani kwa bei za kwetu walalahoi basi anijulishe hapa nahitaji.....nipo Dar Tabata.