Msaada nataka kufungua Grosery.

yam

New Member
Sep 28, 2014
1
0
je ni vitu gani hasa nitahitaji maana ni grosery ndogo tu sio kubwa sana wazoefu walioko humu ushauri wenu utakua msaada sana.. chochote unachojua kuhusu biashara hii kitakuwa msaada tosha kwangu asanteni..
 
Back
Top Bottom