baibui za mitumba jumla

jenmahhu

New Member
Dec 26, 2015
4
1
Habari wapendwa napenda sana kupitia jf inanifunza mengi sana kuliko kupoteza muda whatapp au insta.mimi ni mfanyabiashara mdogo huwa nauza mitumba tafadhali anaefahamu wapi naweza kupata mabaibui ya mitumba kwa jumla au belo naomba msaada nipo dar
 
Fanya hivi nenda mahali yanapouzwa kwa wingi ukifika hapo ulizia bei na baada ya kupewa maelezo tafuta namna ya kuwa na urafiki na muuzaji huku ukimchunguza wapi ananunua nadhani utapata maujuzi
 
Back
Top Bottom