Risks za kutumia madalali katika biashara

nyigo Jn.

JF-Expert Member
Sep 21, 2015
269
94
Wanajamvi naombeni kujua risk za kuwatumia madalali katika biashara hususani ya kuingiza mazao kama vile ndizi na viazi kutoka mkoani kuleta dar es salaam
 
" risks ya kwanza mzigo utachelewa kutoka kutokana na dalali kuuza bei a juu tofauti na unavoelewa wewe... "
 
Back
Top Bottom