Hivi wenzetu mnawezaje kukaa na pesa?

ugalila

JF-Expert Member
Jul 31, 2015
652
598
Kwa hakika suala la kuhifadhi pesa ili nifanyie uwekezaji imekua ni suala gumu sana kwangu kwani kila nikiwa na kiwango fulani cha fedha kwenye akaunti nakuwa na msukumo mkubwa wa kutumia hiyo pesa hata kabla sijatimiza malengo yangu...kwa hiyo ninabaki kuwa mtu wa mipango tu kipindi sina ila nikipata fedha nakuwa sijui hata imeishaje. Tupeane uzoefu namna ya kujibana na kupunguza nguvu zinazokushawishi kutumia pesa sehemu ambayo hukupanga kutumia ....hii pesa sijui ina nini wakuu ebu tupeane uzoefu wa matumizi mazuri kwani natamani kuweka akiba na kuwekeza, na kwangu pesa inapatikana ila sasa matumizi yanavyozuka hata sijui yanatokea wapi.
 
Tatizo lako kwakuwa pesa inapatikana huna tofatauti mvuvi, mie naweka kuanzia elfu 5 kwa siku kutokana na kipato changu cha kujiajiri na malengo nayakamilisha kila mwaka.
Ukiwa na wivu wa maendeleo hujapata matatizo yoyote ya kumaliza pesa kila kitu ulichojipangia ni rahisi tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom