Habari wadau.
Naomba kuuliza kwa wenye uzoefu na mikopo ya wafanyakazi inayotolewa na mabenki mbalimbali. Je inawezekana kubadili kituo cha kazi baada ya kukopa na ukaendelea kukatwa kama kawaida...
Wakuu kuna mtu mwenye info za kina kuhusu hii project? Na je imeshaanza kufanywa maeneo hayo ya Bahari Beach? kuna eneo kubwa kiasi cha kufanikisha huo ujenzi? Angalia hiyo video chini. Project...
Please read full article and share your comment do you agree or disagree?, we would love to hear from you.
Click the link bellow.
DarProperty >> Read Article
UMUHIMU WA KUPANGA MALENGO NA KUYAANDIKA
Habari ndugu mpenda mafanikio namatumaini yangu kuwa uko salama hadi wakati huu, niwakati mwingine tena tunakutana kwa mara nyingine kuhakikisha...
Samahani wanajamvi kama kichwa cha habari kitakuwa kinakinzana na matakwa ya huu uzi. Ila kimsingi mimi ni mwanachuo mwaka wa tatu ili kujikwamua na tatizo la ajira, nimeamua kujiajiri kwa...
1 US Dollar = 1834.59 Tanzanian Shilling
Nadhani tunaelekea kuwa sawa na hali ya uchumi ya zimbabwe iliyotokea miaka ya nyuma kidogo.Kupata mkate mmoja ungeweza kubeba hela kwenye mfuko wa rambo...
Hi! For long Rabbit meat has been proved to be the Most healthy meat next to Fish. Rabbit farming is attractive not only as a source of protein , but also employment for young people! Kenya has...
Ni matumaini yangu kuwa katika jukwaa letu hakuna kinachoshindikana. Mimi ni mwenyeji wa Mwanza , nimetembelea masoko ya samaki hasa Sangara na sato jijini Dar es Salaam hivi kariburini...
Mimi ni mtumishi wa serikali na nimenunua gari aina ya Raum new model mwaka 2005 na nimeprocess form zote za exemption na kufuata utaratibu wote lakini nimeenda TRA wamenambia kuwa sistahili...
Nina simu ya smartfone tecno p3, naomba ushauri ni ntaitumiaje iweze kunizalishia pesa badala ya kuingia whatsapp na fb maana sijui mitandao gani ambayo inaweza kuniingizia kipato. Natangulisha...
Eneo la Tunduru liko katika mpaka wa Tanzania na Zambia. Wakati bei elikezi ya mafuta aina ya petroli iliyotangazwa na Ewura hivi karibuni katika vituo vyote vya mafuta nchini ni kati ya Sh 1,700...
Wadau kwa muda mrefu nimekua nikifikiria watu wanafanyaje ili kuweza kufanikisha uuzaji na ununuzi wa pesa ( forex trad) online na unapataje faida. Tafadhali mwenye dondoo naomba anijuze.
Biashara ya udalali! Hata Manji ndio anachofanya. Ananunua huku na kuuza kule tena bila hata mtaji. Anaweka bla bla, anashinda tenda,anaenda benki wanadhamini show. Kiwanda kinaleta mali, then...
Wakuu,poleni na majukumu ya kujenga taifa, mimi ni mjasiliamali,nimekaa na kufikilia how to employ my self lakini kikwazo ni kupata area ya kufanyia biashara, hasa ya mbao along road reserve bkoz...
SIRI ILIYOJIFICHA NDANI YA BIASHARA
KUNA UHUSIANO GANI KATI YA MFUMO WA BIASHARA YA MTANDAO NA UMACHINGA?
Habari ndugu msomaji wa makala zangu? Ninaa matumaini uko salama hadi...
Hii kampuni mbona haitangazi gawio kwa wanahisa au imefilisika? Ni miaka miwili sasa wanahisa hatujapata gawio na hatuna mawasiliano nao.Brela chunguzeni.
Serikali ingefatilia kwa karibu kuhusu kodi. kuna watu wanakopesha pesa kwa riba bila kuwa na leseni hao watu wangefatiliwa ili walipe kodi labda watapunguza asilimia ya riba
Kama kichwa kinavyosema, Napenda kufanya biashara katika mikoa tajwa hapo juu!
Je, ninaweza kupata fremu ya biashara ambayo kidogo itakuwa ipo jiran na movement ya watu target population. Lengo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.