Nahitaji kuku wa kienyeji/chotara

EFRAM

Member
Jan 28, 2016
13
8
habari za hapa jf, ninahitaji kuku wa kienyeji/chotara wale ambao ndio kwanza wameanza kutaga au ambao wamebakiza kama wiki 3 waanze kutaga. niko maeneo ya Airport DSM. naomba kuwasilisha.
 
idadi ya kuku ninaohitaji ni 28 na namba yangu ya simu ni 0717176743
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom