JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Habari, Wazohefu wa magari gari yangu Jana wakati natoka job imelia paah kwanguvu kwenye engine yaani nimeogopa ata kufungua bord ya mbele. Je tatizo linaweza kuwa nini?
3 Reactions
1 Replies
518 Views
Nimeyakagua pale maonesho ya Sabasaba La Mwanza ni Nissan saloon linatumia umeme 100% Ni mtumba Betri ikiwa full unatembea km 200 Betry inachajiwa kwa saa 8 hadi 15 Ya pili ni Toyota Inatumia...
5 Reactions
83 Replies
4K Views
9 Reactions
31 Replies
3K Views
Ni landcruiser mpyaa, 0km 300 series Tafakari wewe hapo ulipo kazini kwako ukistaafu utaondoka na kitu gani?
11 Reactions
68 Replies
7K Views
Sijui tunafeli wapi wanazengo ila kimsingi natamani sana kama tungeanza kuhamia huku mdogo mdogo. Hii gari ni ya usd 8000 tu roughly kama 18.5m hivi kwa wanaonunua gari za 25-30M naona kama hii...
38 Reactions
47 Replies
4K Views
Wajameni, Kuna jamaa yangu katoka mkoani juzi, kaja na tuhela twake anataka kununua kausafiri. Amenitonya kuwa anazo TZS 5 mil lakini anaweza kujitanua (ku-stretch) hadi TZS 6 mil. Juzi...
0 Reactions
101 Replies
25K Views
Dizeli oyee, Katika kupambana na bei ya petroli kwenye pitapita nimeona gari zinauzwa zikiwa tayari na mfumo CNG kutoka Japan japo nyingi zinaonekana zinatumika kwa wingi na waitaliano, hizi...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari wadau wa jamiiforums, Nimetokea kuipenda hii FORD ESCAPE XLT 2008, hizo chini ndiyo specs zake naombeni ushauri juu ya mafundi, spares na changamoto za gari hii. Thanks. SPECS...
3 Reactions
41 Replies
7K Views
Nimetoka sehemu na gari yangu, kufika home nacheki tairi ya nyuma kushoto, dah yote imelowa oil Kumwita fundi anasema ni oil ya diff, seal ya ekseli imekufa. Nikicheki mfukoni, mambo yako ovyo...
35 Reactions
115 Replies
6K Views
Habari wana jamvi! Kuna hii gari pendwa katika jiji la dar es salaam, inayoshika kask sana kwa kununuliwa kama njugu.. wao wanaiita “dar sweetheart”.. si nyingine bi ni “Nissan Dualis”. Nakumbuka...
9 Reactions
246 Replies
67K Views
Nina Rav4 yenye engine ya 3S-FE kila nikiwasha ninapokanyaga accereletor Inapoteza nguvu kwenye carburetor Sasa sijui kama ni sensor au kipi. Pia kama ni throtter au RPM Sensor zinaweza kuwa na...
3 Reactions
2 Replies
319 Views
Habari, Naomba kujua changamoto na sifa ya kumiliki gari aina ya Nissan Juke hasa toleo la 2010 mpaka 2013. Ahsante..
3 Reactions
14 Replies
3K Views
Wakuu tukienda moja kwa moja kwenye mada, nipo kwenye mchakato wa kubadili kababy walker kangu hivyo basi katika pita pita zangu huku na kule mtandaoni nikakutana na huyu mnyama anaitwa Nissan...
1 Reactions
6 Replies
4K Views
Habari wapendwa, kuna kiusafiri aina ya toyota VITS new model chenye ingine ya piston 3 , kinashida ifuatayo:- 👉 Ukipanda mlima kinapoteza nguvu na kuwa kama kina kwikwi, kama kina taka kuzima...
0 Reactions
9 Replies
564 Views
Natamani kuwa na Gari kubwa nzuri kwaajili ya matumizi binafsi. Hapa natamani kujua Gari ipi nzuri kwa kuangalia vitu vifuatavyo. 1. Uimara 2. Matumizi ya mafuta 3. Service 4. Muonekano Najua...
2 Reactions
33 Replies
9K Views
Mie naanza na hawa. Wasukuma = Klugger na Harrier Wachaga = Rav4 na Prado. Wahaya = Rav4 Wamakonde = RangeRover:) (Wakimuiga ndugu yao Konde Boy) Wengine jazieni
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Nimejiuliza hivi kwa sababu ni kawaida kusafiri ndani ya basi lenye abiria zaid ya sitini bila hata mmoja kufungua kioo cha dirisha. Na pia ukifungua wa siti ya nyuma analalamika upepo unampuliza...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
  • Redirect
Naomba ushauri kati ya FAW na shackman ipi gari nzuri katika biashara ya building materials kama kokoto mchanga n.k katika ubora na upatikanaji wa vifaa
0 Reactions
Replies
Views
Habari .nataka kuchukua mkopo wa truck naomba ushauri kati ya FAw na schackman hipi ni gari nzuri katika uimara au ubora na upatikanaji wa spare,biashara ya mchanga,kokoto,na construction work...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Waungwana naomba kuwasilisha hoja ni gari gani ni imara zaidi kwenye rough roads nataka kupigia kazi na kupenya maeneo sumbufu Vanguard Kluger Harrier X-trail
6 Reactions
67 Replies
11K Views
Back
Top Bottom