Car faults

Meragana

New Member
Jul 16, 2022
4
4
Nina Rav4 yenye engine ya 3S-FE kila nikiwasha ninapokanyaga accereletor Inapoteza nguvu kwenye carburetor Sasa sijui kama ni sensor au kipi.

Pia kama ni throtter au RPM Sensor zinaweza kuwa na uhusiano na tatizo Hilo nauliza wanajamvi mwenye jibu. Meragana Automobile technician
 
Nina Rav4 yenye engine ya 3S-FE kila nikiwasha ninapokanyaga accereletor Inapoteza nguvu kwenye carburetor Sasa sijui kama ni sensor au kipi. Pia kama ni throtter au RPM Sensor zinaweza kuwa na uhusiano na tatizo Hilo nauliza wanajamvi mwenye jibu. Meragana Automobile technician
Kupoteza nguvu kwenye carburator ndio aje?
 
Back
Top Bottom