Poromoko la bei la Gari aina ya Nissan Dualis

mutu murefu

JF-Expert Member
Jan 3, 2017
919
2,270
Habari wana jamvi!
Kuna hii gari pendwa katika jiji la dar es salaam, inayoshika kask sana kwa kununuliwa kama njugu.. wao wanaiita “dar sweetheart”.. si nyingine bi ni “Nissan Dualis”.

Nakumbuka kipindi zinaanza kuingia hapa bongo zilikua bei moto sana around milion 25. Lakini kwa sasa nimeshangaa kuona bei zake zimeshuka sana mpaka kuna baadhi ya agents wanakuagizia kutoka japan kwa 14.5m. Binafsi nimevutiwa na gari hii hasa kwa muonekano wake, Mungu akijaalia basi hili gari litakua kipaumbele kwangu.

Naomba wajuvi wa mambo watusaidie nini kimechangia poromoko la bei kwa kiasi hiki? je lina matatizo fulani ya kiufundi au sababu ni ipi haswa?
 
Usije ukainunua ndg tafuta watu watatu wanaoimiliki omb mawazo yao
Wawili kati yao watakwambia usijaribu
 
Habari wana jamvi!
Kuna hii gari pendwa katika jiji la dar es salaam, inayoshika kask sana kwa kununuliwa kama njugu.. wao wanaiita “dar sweetheart”.. si nyingine bi ni “Nissan Dualis”.

Nakumbuka kipindi zinaanza kuingia hapa bongo zilikua bei moto sana around milion 25. Lakini kwa sasa nimeshangaa kuona bei zake zimeshuka sana mpaka kuna baadhi ya agents wanakuagizia kutoka japan kwa 14.5m. Binafsi nimevutiwa na gari hii hasa kwa muonekano wake, Mungu akijaalia basi hili gari litakua kipaumbele kwangu.

Naomba wajuvi wa mambo watusaidie nini kimechangia poromoko la bei kwa kiasi hiki? je lina matatizo fulani ya kiufundi au sababu ni ipi haswa?
Ni wapi wanaagiza dualis kwa m 14 nikaagize kesho kutwa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
IMG_7170.jpg
 
Watu hawawezi kuichukia gari bila sababu, lazima kuna jambo.
Kwanini Nissan ina reputation mbaya hapa Tanzania?
Jibu ni kuwa, mara zote Nissan imekuwa ikilinganishwa na Toyota katika suala la maintenance, na sote tunajua Toyota ni more affordable in terms of buying and services.

Mwisho usiwe mwepesi kuamini maoni yoyote positive kuhusu gari fulani kutoka kwa mmiliki wake hapa Tanzania. Kwanini? Bado watanzania hatujawa waungwana kusema ukweli mchungu kuhusu privacy life hususani kwa vile tunavyovimiliki kama gari au mke, tunahisi kama tutachekwa au kubezwa, hivyo tunajihami mnoo kwa uongo.
 
Ni gari nzuri na hiyo bei ya 23M sijui uliionea wapia huenda ni kwa madalali vichwa panzi... Dualis nyingi zinazoingizi kwetu ni kati ya 2007-2009 na hizo bei zake ni 14-16M na huko 16M labda ukaagiziwe na hao vishoka mnaowaaita ma agent ila ukiagiza mwenye top top 14. Kuhusu matatizo yake kuwa tatizo lake kubwa ni kushuka kwa roof yani Dualis zote roof lazima itakuja kushuka au utaagiza tayari ikiwa imeshashuka ila siku hizi mafundi wazuri wapo wanafanya repair unaendelea kudunda.
Kuhusu ubovu nakataa ila nissan ni gari inahitaji umakini sana muda service ukifika peleka service tena kwa fundi anaejua kazi, spare funga kwa wakati la si sivyo utaikimbia labda kipengele ni bei ya spare imesimamia kucha kidogo ila pia sio ishu sana tofut na toyota spare bei chee (feki) na unaweza buta tu.
 
Ni dualis, engine hazina shida, ulaji wa mafuta ni safi shida ya hii gari ni gari mayai haifai kuenda nayo rough road mara kwa mara. Na shida ni spare parts ni aghali mkuu itakufilisi..

Mara utasikia wish bone zimekufa ukiuliza bei ni mshahara wa mwalimu wa secondary,

Kwa ufupi chochote kitakachokufa kwenye nissan ujue ni bei aghali haswaaa...
mkuu hebu naomba nipe experience ya nissan yako! ni dualis au model ipi.. na matatizo yake ni yapi haswa?
 
Ni dualis, engine hazina shida, ulaji wa mafuta ni safi shida ya hii gari ni gari mayai haifai kuenda nayo rough road mara kwa mara. Na shida ni spare parts ni aghali mkuu itakufilisi..

Mara utasikia wish bone zimekufa ukiuliza bei ni mshahara wa mwalimu wa secondary,

Kwa ufupi chochote kitakachokufa kwenye nissan ujue ni bei aghali haswaaa...
Wish bone zinakufaje? Au unamaanisha bush za wish bone?
 
Back
Top Bottom