Naomba kujua Sifa na Changamoto ya Nissan Juke

Gari kama gari haina shida, wewe ndio uwe shida kwa gari. Chukua mashine.
 
Ni kidogo ndani. Kama una mwili mkubwa, hakitakufaa. Pia suspension zake ni ngumu (firm). Kama unapita rough road saana, utakichukia. Mwisho, ni zile zile common issues za magari ya Nissan
 
Shukran kaka,
Nimeipenda sana hii gari, mambo kama Suspension naweza kubadili.
Hata interior pia haivutii with zero comfortability maana nyingi hazina leather seats.
Hilo la space clearance sio inshu maana sina mwili mkubwa..
 
Ukibadili suspension in most cases utatengeneza magonjwa mengine. Kama umelipenda, jilipue tu. Utazoea kuishi nalo.
 
Shukran kaka,
Nimeipenda sana hii gari, mambo kama Suspension naweza kubadili.
Hata interior pia haivutii with zero comfortability maana nyingi hazina leather seats.
Hilo la space clearance sio inshu maana sina mwili mkubwa..
Hapo kwny Kubadili suspension umemaanisha nini?
 
Back
Top Bottom