Atomic orbital
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 369
- 473
Waungwana naomba kuwasilisha hoja ni gari gani ni imara zaidi kwenye rough roads nataka kupigia kazi na kupenya maeneo sumbufu
Vanguard
Kluger
Harrier
X-trail
Vanguard
Kluger
Harrier
X-trail
Cruiser Bei chafuCruiser mkonge!
Ulizotaja zote hizo za kwendea Kidimbwi
Old model daah utakuta imekula km za kutoshaNoah old model ... naikubali sana
Toyota KlugerWaungwana naomba kuwasilisha hoja ni gari gani ni imara zaidi kwenye rough roads nataka kupigia kazi na kupenya maeneo sumbufu
Vanguard
Kluger
Harrier
X-trail
Hapo sawa mkuuBei ya Vanguard au Tako la nyani huwezi pata Hilux double cab manual? Au kaza kidogo, uvute hiyo double cab kutoka kwa mjapan, 45m labda!
Gari za wachaga hizo
Kama huwezi kumudu chukua suzuki Escudo zile za zaman aka Ahsante masawe.Cruiser Bei chafu
Mashine hii
Juke?Chukua nissan chura mwisho wa matatizo
Picha?!Kama huwezi kumudu chukua suzuki Escudo zile za zaman aka Ahsante masawe.
Ina four wheel kali sana
Bei yake imechangamka haswa. Bila 20m TZS hujaipata
Hii hapa mashine alitumia babu mpaka mjukuuJuke?