Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 67,124
- 173,993
Sijui tunafeli wapi wanazengo ila kimsingi natamani sana kama tungeanza kuhamia huku mdogo mdogo.
Hii gari ni ya usd 8000 tu roughly kama 18.5m hivi kwa wanaonunua gari za 25-30M naona kama hii chuma inanunulika kabisa.
Kigari kina Range ya 360KM per single charge which is fair enough kwa mizunguko ya mjini with 150KPH top speed which is also fair kwa mjini. Battery la 45.2KwH with fast charging ya 100% ndani ya lisaa limoja au 10 hrs standard charging.
Kwa gharama za mafuta naona kama hii ni option nzuri na mbadala au nasema uongo ndugu zangu?