JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Wakuu nimebabatiza pesa sehemu nataka ninunue gari kubwa kiasi nayo ISUZU BIG HORN mwenye kuijua vizuri: 1. Ulaji wa MAFUTA; 2. Spea zake; 3. Mafundi wetu wa Kibongo je wanaziwezea?
1 Reactions
98 Replies
23K Views
Msaada Kwa wadau kuhusu ubora wa magari haya, ni nunue Lipi kwanini. Volkswagen Tiguan/touran Honda crossroads Nissan E-Trail Toyota Premio Nissan Dualis
0 Reactions
2 Replies
608 Views
Habari Wanajamvi, nilikuwa naomba msaada kama nitapata steering rack ya BMW 5series
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Hawa jamaa kwa kweli wanajua wanachokifanya aise. Mercedes S Class ni dunia nyingine kwenye ulimwengu wa magari. Japo itatuchukua kama 20yrs kwa jamaa wa mtaani kwetu kumiliki gari kama hizi...
5 Reactions
275 Replies
19K Views
Wadau naombeni ushauri wenu, Nataka kununua toyota rush,kwa matumizi binafsi na kwenda kazini. Vipi kuhusu durability,spea,ulaji mafuta, mwendo barabarani, matatizo yake nk.
1 Reactions
27 Replies
4K Views
Wakuu Nina miaka 30 now skuwahi kujifunza baiskel Kama vijana wengine kwa sababu za kiumaskin nk. Naomba kuuliza je inawezekana kujifunza pikipiki bila kujua kuendesha baiskel? Kuna aliewahi...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
Habari wakuu, Nahitaji kufahamu hili suala la kuweka tinted kioo cha mbele naona siku hizi imekuwa kama fashion hapa Dar. Swali langu mnapambana vipi na hawa jamaa wanaovaa nguo nyeupe...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Naombeni msaada gari yangu Nissan dualis steering imekuwa ngumu sana, haibadilishi gear ukiendesha mshale unapanda tuu ukishuka mpaka ushike break na pia ABS Inasoma kwenye dignosis.. In short...
3 Reactions
17 Replies
4K Views
Kiukweli huwa nasikitika sana nikikuta mtu anasema speed ya gari kubwa mathalani mabasi huwa ni kubwa kuliko speed ya gari ndogo. Unaweza kupitia comments za post niliyoiweka hapo juu. Hoja yao...
9 Reactions
10 Replies
2K Views
Nahitaji Mwenye uzoefu wa kuagiza tractor China anijuze.
0 Reactions
10 Replies
900 Views
Wakuu nauliza kipi kiliwafanya Hawa jamaa waweke Engine kubwa kwenye Kluger? Yaan nikiwaza ukubwa wa engine Bora nilipuke na Nissan Xtrail 1990cc angalau sitawatajirisha wauza mafuta Kluger...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
  • Redirect
Wakuu msaada hapo,interms of fuel consumption, spear na kuhimili mikiki ya barabara mbovu!
0 Reactions
Replies
Views
Mama vp wakuu Mwenyewe uelelewa wa hizi gari aina ya Nissan X-trial maana naona watu wanaziuza kwa bei cheap sana?
3 Reactions
64 Replies
8K Views
Habarini wandugu, Je kuna madhari yoyote niki engage Neutral gear kwenye automatic transmission nikiwa nashuka mlima ili nisave wese?
1 Reactions
36 Replies
3K Views
Wakuu msaada tutani, accelerator kuna kipindi inakwama kukanyagika, hasa baada ya kutoka kukanyagia mwendo kiasi, ukiachia ili upige pulling tena inabaki kwa juu mpaka uipige pige na mguu mara...
0 Reactions
1 Replies
768 Views
Naomba kufahamishwa BEI ya COVER (Mfuniko) ya Spear Tairi ya Nyuma kwenue mlango wa RAV 4 (MISS TZ 2007) new model! Na nitapataje.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu baada ya kutumia version ya nyuma kwa miaka10, sasa ninataka kubadili model ninunue hii. Uzoefu upoje kwenye kodi ikizingatiwa ni gari ina miaka6 toka iundwe na costs zake ni$10,000 hadi...
1 Reactions
2 Replies
462 Views
Wakuuu nimejichangachanga nataka kuagiza Toyota Raumu naomba wataalam msaada wa mambo mawili 1. Naomba waliowahi kununua gari kupitia Hizi website mbili Realmotor.jp na Sbimotor.com Nimeangalia...
4 Reactions
21 Replies
4K Views
Wakuu habari zenu, Nauliza kama kampuni gani nzuri ya mabasi kutoka Dar kwenda Kampala Uganda nina taka nisafiri kwa raha bila bugdha. Asanteni
0 Reactions
1 Replies
725 Views
Wakuu, hongereni na poleni na majukumu ya kimaisha. Mimi katika harakati zangu za kimaisha sijawahi kumiliki gari hata siku moja, ila nimejichanga nina kiwango cha kiasi kama milioni 11 ya...
5 Reactions
25 Replies
4K Views
Back
Top Bottom