JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Ukweli leo nimekaa na kufikiria na kujiuliza hivi kwanini wanawake wanavaa chupi na je chupi ina kazi gani kwa mwanamkejibu likanishinda. Pia nikajiuliza kwa upande wa wanaume hivi kwanini wanaume...
0 Reactions
55 Replies
12K Views
Hivi wale jamaa walio ingiza sauti kwenye movie ya yesu wako wapi? mbona wajawa mastaa wakati walifanya poa sana[emoji29]
1 Reactions
2 Replies
226 Views
Kuna jamaa alienda kutafuta utajiri uko milimani aliekezwa na rafiki ake ambae walisoma wote sasa jamaa alivyo ona mwenzie tajiri nae akatamani akaelekezwa Kufika kwa mganga pale mganga akampa...
16 Reactions
131 Replies
3K Views
Ninamzigo wa mawazo ambao haupimiki kama mnavoniona. Mimi na pombe pombe na mimi. Nimekuwa mtu wa kudance popote ninapokuta sebene. Suti zangu hazinipendezi tena kama zamani Nikiona watu...
17 Reactions
141 Replies
3K Views
Jana night nikatoka na chaguo la moyo tubadili hata dinner tuupumzishe ugali dagaa kidogo, hao tukaenda kiwanja fulani jina kapuni kwa ajili ya kulinda brand. Tukiwa tunaingia pale tunaangalia...
16 Reactions
30 Replies
1K Views
Wanameke miaka 18-24 ndio hao ndio bonge la dada zaidi ya hapo we ni mshangazi Nadhani imeeleweka,msitusumbue huku mtaani.
2 Reactions
6 Replies
539 Views
The boy with all the toys but no one to play with. the boy is waiting for anyone to mention his name He is like ooh God please let anyone throw anything to us. I mean no malice to nobody
10 Reactions
28 Replies
1K Views
*Nyangeta *Nyaso *Nyamizi *Nyambura *Nyanzobe *Nyamisango *etc Wanaweza wakawa wanatokaka -Nyalikungu -Nyampitoo -Nyamagoo -Nyahanga -Nyakanazi -Nyakato -Nyasubi -etc Nilikuwa nachambua taarifa...
4 Reactions
36 Replies
4K Views
Me zilizokuwa zinanikonga nyoyo ni THE BOLD AND THE BEAUTIFULLY wahusika kidogo nmewasahau! THE PASSION wahusika ni bi.tabitha,cherry.... MR COOPER jaman hi comedy sintaisahau steling ni cooper...
1 Reactions
44 Replies
10K Views
Kwenye msiba wa mzee flani mtaani, wakati watu wanaaga, mmoja wa wajukuu zake aliona mwili kwenye jeneza akasema kwa sauti kubwa “kwahiyo babu sasa hivi amekua Zombiii” wote tuliokua karibu...
4 Reactions
26 Replies
1K Views
Huu uzi haumlengi mtu yoyote na ni kwa ajili ya sanaa ya vichekesho na ubunifu. Naanza: Audiomack - kwa sababu huwa ananiimbia uongo on repeat. Cocacola - alikua amejaa gesi, hana ladha na ni...
4 Reactions
47 Replies
2K Views
Ilkuwa wapi? Ulijiaanda je? Ulichuwa muda gani? Uliganganya kwa asilimia gani? Ulihisi hofu kiasi gani? Na ulijibiwa vipi baada ya sound zako zote?
3 Reactions
53 Replies
9K Views
Good morning people Platinums, Experts, Seniors, Members, New members & Guests: Maisha yanaenda kasi sana, wengi tunatamani kuyakamilisha mambo tuliyopanga. Sote tuendapo kulala tunalala tukiwa...
11 Reactions
275 Replies
7K Views
Jana nilikuwa safarini kuja Dar na bahati mbaya mwenyeji wangu niliyekusudia kunipokea simu yake haikupatikana Kwa kuwa mimi siyo mwenyeji saaana,kupitia hapa jf niliomba kupata msaada wa mtu...
42 Reactions
225 Replies
10K Views
Salaam wakuu, naamini kila mmoja ana watu ambao wamekuwa wakimpa kampani au kuichangamsha siku yake hapa JF Kiasi cha kutengeneza muunganiko baina yenu, kama team ya mpira au jeshi. Ambapo...
13 Reactions
105 Replies
4K Views
Ngoja niwape kisa cha ujana, nilivyoenda kupashana joto kwa kijana fulani nikaaibika, ila yule kidume akapotezea na kunipamba na sifa kedekede ili tu aichakate mbususu. Nimekikumbuka hiki kisa...
15 Reactions
172 Replies
5K Views
Uliwahi kurogwa? Uliwahi kuroga? Una chale mwilini? Ulisimuliwa tuu? Ulishawahi kupewa masharti magumu yasiyotekelezeka? Ulishawahi kudalaliwa? Ulishawahi kutapeliwa? Una hirizi? Ulishawahi...
16 Reactions
149 Replies
18K Views
Mtaje rafiki yako ambaye alifariki mapema sana na hutawahi kumsahau, naanza na mimi kaka yangu mtoto wa mama mdogo. Rest in peace broh.
2 Reactions
57 Replies
3K Views
Na majimbo ambayo ukija Mkoani Mara tutakupa Ugombee ni ya Tarime Mjini, Serengeti na Mwibara kwa Watu waliopinda. Cc: Maxence Melo
3 Reactions
21 Replies
712 Views
Back
Top Bottom