Tuwe tunasoma kilichoandikwa kwenye nguo

Tuwe tunasoma kilichoandikwa kwenye nguo

Lamborgini

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2024
Posts
919
Reaction score
1,539
Nimekutana na Mwamba hajali kubabake tuwe tunasoma kilichoandikwa kwenye nguo
20250625_200659.jpg
 
Unakuta mtu kavaa tisheti la mtumba limeandikwa mortuary attendant, matusi, 666 maandishi makubwa na kutembea nayo bila wasiwasi. Wengine hudai hawajui kusoma lugha hiyo
 
Unakuta mtu kavaa tisheti la mtumba limeandikwa mortuary attendant, matusi, 666 maandishi makubwa na kutembea nayo bila wasiwasi. Wengine hudai hawajui kusoma lugha hiyo
Inaubaya gani?
 
Sasa kama amenunua kwa pesa yake ya nini uteseke?

Kijana unaajira? Nitafute mahitaji mtu wa kulisha nguruwe wangu,elimu uliyonayo naona inaanza kutumika vibaya.
 
Unakuta wahuni wa ulaya na amerika wameprinti maandishi ya kihuni kwenye tisheti za mitumba na mswahili anavaa bila kuelewa maana yake
 
Moja zamani kidogo mzee wa makamo hapo Bongo nimekuta ana jinsi iliyomzidi ukubwa imeandikwa kwenye Kali* BIG BOTTOM. Nikawaza ningekwa na uwezo ningemweleza atupe kabisa Hilo jinzi lake
 
Back
Top Bottom