kyagata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2016
- 13,967
- 26,202
Mko salama wakuu?
Jana nikakutana na jamaa zangu flani ambao saivi ni madereva wa IT,tukapiga tungi weee nikaona jamaa wanachanganya kuberi na konyagi kuwauliza wanasema eti inakata usingizi.nikasema ngoja na mimi nijaribu,dah dakika sifuri nikazima,hii kitu imeniletea mpaka mafua.
Sitokaa niguse tena kuberi.