Wana bodi, Leo Nimeona tujadili Wana jf ambao walivuma Sana ila siku hizi wako kimya Sana
Tunataja Kwa Jukwaa
Jukwaa la Mmu - Lara 1
Jukwaa la wakubwa -boflo, asakuta same,
Jukwaa la elimu...
Wakuu unajua JF bila kuwa na msimamo itavunjika. Ni lazma kama Great Thinkers tuwe na msimamo. Sio mambo yanatokea yaniashia juu juu bila kufanya conclusion yoyote. JF inakuwa haina maana kabisa...
Zamani hizo muda kama huu babu ameshaninunulia nguo za sikukuu kuanzia za kuendea kanisani Alhamis kuu mpaka za Easter Monday.
Sasa hivi naishia kutamani tu. Siwezi hata kuvaa nguo mpya kwenye...
Kuanzia sasa nikiwa nawaita Waandishi wa Habari mje mnipige Picha mkichelewa tu hata Sekunde chache eneo la tukio basi nitakuwa najipiga Picha mwenyewe na nazisambaza katika Media na Social...
umeshawahi kuwa na pesa halafu ukawa hujui utumie nini? nahisi nataka nitumie lakini sioni nitumie wapi. nimewaza mpka kichwa kina uma πππ kuwa na pesa nayo tabu kweli π
Wakuu mpo salama!
Sawa sawa kama mpo salama nisiwapotezee muda. Nianze kwa kuwarudisha nyuma. Mimi jamii yangu nilikotoka tumegawanyika katika koo.
Na hizi koo kila moja inasifa yake. Nitazipa...
KAMATI YA MAANDALIZI YA SHEREHE ZA UBINGWA WA SSC
MC -Mwinyi Zahera
DJ-Masau Bwire
VINYWAJI-Azam
KUNI-Mbao fc
KUOSHA VYOMBO NA KUPIKA CHAKULA-Yanga
MUZIKI-Mtibwa na Mbeya city
ULINZI - Prisons...
Tulioko macho tusomane
Mi nko Iringa kwene chimbo moja hivi local sana wanaita holiday nakula vyangu na kuongeza idadi ya dhambi
We uko wap na unafanya nini?
Ikitokea tupo location moko...
Hi guys,
me naukumbuka huu, "hesabu ni nzuri sana weeee mwalimu nifundishe siwezi kusahau ee mwalimu ee mwalimu nifundishe"
mwingine "a e i o u hizi ni herufi kuu, tamka kwa sauti kuu, hizi a e...
Wiki ijayo nimepanga kwenda mkoa flani wenye baridi naenda kwa shughuli zangu binafsi but kuna single mom mmoja nilimpata huko mwezi wa kwanza sasa nimemwambia nakuja next week kaanza kuagiza bidhaa
Nilisikia Kuna tajiri fulani alikuwa mzungu Akawa amekodi nyumba anaishi peke yake na katika moja ya chumba alifuga lijoka kubwa ambalo kila baada ya siku kadhaa lilikuwa linahitaji nyama.sasa...
Wakuu,
Jioni njema. Ndauli? Wamisha khinehe, mwadila, mapembelo,aslam aleykum etc. I hooe wote tuko poa,
Kama kuna mkuu yeyote as we speaking he/she is currently here at the calabash kama yuko...
Mfano baba anakuuliza eti hivi kwa nini nilikuzaa?hapo unajibuje sasa.
Au dem anakuuliza hivi nilikupendea nini??au mtu anakuuliza eti wewe ni me au ke?ili iweje sasa.
Ongezea swali lolote...
Nilikuwa nauliza vipi ile party ya wana Jf mwaka Jana vipi ilifanyika.. Maana kitambo sijaingia humu ndani istoshe nilikuwa naskia tu tetesi oooh sijui mshana alijigeuza nyaya za spika akaingia...