Bia iheshimiwe?

Bia iheshimiwe?

Chadema 2030

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2025
Posts
1,909
Reaction score
3,726
Watu tunakunywa bia zetu kwa adabu. Alafu mnazikemea kwani bia zina mapepo.Eti pepo yakunywa bia ishindwe. Kwan jini anaishi kwenye chupa ya bia. Nyie wachungaj wakilokole ipeni kinywaji chetu heshima. Bia sio dhambi hata Yesu alifanya mijiuza ya pombe sawasawa na bia tunayoinywa leo.
 
Chukua hii
 
Attachments

  • Screenshot_20260415-185636_Facebook.jpg
    Screenshot_20260415-185636_Facebook.jpg
    162.1 KB · Views: 8
Watu tunakunywa bia zetu kwa adabu. Alafu mnazikemea kwani bia zina mapepo.Eti pepo yakunywa bia ishindwe. Kwan jini anaishi kwenye chupa ya bia. Nyie wachungaj wakilokole ipeni kinywaji chetu heshima. Bia sio dhambi hata Yesu alifanya mijiuza ya pombe sawasawa na bia tunayoinywa leo.
Tena iheshimiwe sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom