Kikomo cha mtu kuwa yatima ni miaka mingapi?

Kikomo cha mtu kuwa yatima ni miaka mingapi?

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
39,939
Reaction score
61,732
Tunafaamu kifo kipo na hakiepukiki, kila mmoja ataondoka kwa wakati wake uliopangwa na mwenyezi Mungu.

Leo nimekuja kumtembelea rafiki yangu mstaafu mwenye miaka inayokadiriwa 75, katika maongezi yetu akaniambia yeye ni yatima; amefiwa na baba pamoja na mama tangu miaka 10+ iliyopita.

Ghafla nikapatwa na mshangao, nikawa najiuliza ukomo wa mtu kuwa yatima ni miaka mingapi?
 
Tafsiri ya yatima

Yatima ni mtoto aliyefiwa au kutelekezwa na wazazi wake wote wawili au mmoja wao (hasa baba), na bado hajafikia umri wa kujitegemea
Naona maana imejitosheleza kabisa, ''.......na bado hajafikia umri wa kujitegemea''​
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom