Sisemi kwamba hawana akili kabisa la hasha nazungumzia akili kwa kipimo walau cha professor achana na akili za kiwaida tu.
Nashindwa kuweka vizuri ili nieleweke vyema lakini kwa % kubwa hawa watu...
Pale Tanganyikaaaa... Lete babaaa..!
Kipofu akifufuka leo Tanganyika atachanganyikiwa na mengi sana! Sana!
Anaibukia Tandale kwa Tumbo akifika huko hilo tumbo halioni
Anatoka hapo mpaka anasafiri...
Wakubwa mi nimeishi Dar, Kibaha na sasa Mbeya (mjini). Aisee hapa Mbeya wadada wengi ni bed to bed midfielder. Labda kwasababu mgeni sielewi sana maeneo, ila wadada wengi ukitongoza mmekutana...
weekend ndiyo hiyo aseeh siku zinayoyoma kamwaka kameshakata kiutani utani tu. Kina Asprin washatoka Moshi tupo nao Town tunachakarika.
Sitaki kuamini vyuma vimekaza hadi couple za humu ndani...
Leo nimenunua mbwa Kwa ajili ya ulinzi nyumbani
Mbwa ni mlinzi mwaminifu
Mbwa sio kama binadamu kwamba ana usaliti
Naomba jina zuri Kwa ajili ya jibwa langu
Ndg zangu Amani ya bwana iwe nanyi, naomba niweke wazo langu na nia yangu ya muda mrefu inayochoma moyo wangu.
Nimekuwa nikiangalia kwa muda mrefu sana juu ya busara za Dada yetu maarufu kama...
I love JF because of it's educative contributions "in kiswahili"from its members but when the thread is posted in English very few come out to contribute.
I have also noted that the only guys who...
Mtu utasikia anadai anaenda sehemu kula bata ila akifika anakunywa soda chips labda na kipande cha kuku. Kwani kula kwa tunavyohisi ni kitendo cha starehe yaani yawe mambo yenye utofauti kidogo na...
Hivi kitimoto ni kwa ajili ya walevi na wenye kipato kikubwa tu? Kwa nini hii nyama inauziwa baa na hotel kubwa tu halafu iliyoiva pia inapimwa kuanzia nusu kilo tu?
Kwa nini hakuna mama ntilie...
Huyu bwana amefagilia uchafu alionao utadhani kitu cha maana sana. Lakini kwa wenzetu kuwa mchafu sana ni mtaji kwani unakuwa umejiajiri, watu wanaingia kukuona kwa dollar. You become a private...
Yaani leo nipo kkoo katika wanawake 10 unaopishana nao basi 7 wamefungasha na wana mizigo kweli. Nini siri ya mafanikio? English figure zinaanza kupotea