Msaada: naitaji kuwa rafiki Wa karibu na miss natafuta Wa JF

Differential Equations

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
206
250
Ndg zangu Amani ya bwana iwe nanyi, naomba niweke wazo langu na nia yangu ya muda mrefu inayochoma moyo wangu.

Nimekuwa nikiangalia kwa muda mrefu sana juu ya busara za Dada yetu maarufu kama MISS NATAFUTA Wa humu jf namna alivyo na hoja nzuri, anajitambua, mwenye mawazo mapana zaidi na mwenye uelewa Wa hali ya juu sana hivyo kuweza kunivutia mm na nimeamua rasmi kuanza urafiki Wa karibu na miss natafuta.

Kama ataona hii post naomba aje pm please au kama uko karibu nae naomba unisaidie kufikisha ujumbe wangu kwake.

Nakupenda sana miss natafuta.
 

Castr

JF-Expert Member
Apr 5, 2014
21,215
2,000
Miss Natafuta bwana tatizo ni ule mtihani wako wa mwisho wa kuomba hela, ila unaonekana we ni kazi kazi.

Mkuu endelea kufuatilia
 

rubii

JF-Expert Member
Feb 22, 2015
11,465
2,000
Domo zege?? mmmh hii sasa ni Vidole zege si umtafute mwenyew jamani mpaka usaidiwe?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom