JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
  • Poll Poll
HOW IS LIFE TREATING YOU MWANA JF?
2 Reactions
12 Replies
229 Views
alichofanya ni hivi: alianza kumnyanyua ndama akiwa bado mdogo kabisa alivozaliwa, akawa anamnyanyua huyo ndama kilasiku. siku zilivyokua zinaenda ndama anazidi kukua. nayeye uwezo wake wa misuli...
8 Reactions
22 Replies
524 Views
Namalizia weekend hii nikiwa na mtoto ana macho ya kusinzia na makebo makubwa, vp wewe unaimalizaje hii wikiendi? MUvi, umelala, pub, familia?
9 Reactions
144 Replies
1K Views
Katika harakati zangu za relationships nimekutana na variety ya wasichana wa kibongo tofauti tofauti ila pia nimepeperusha bendera katika mataifa tofauti. Nimekuwa na msichana mmoja wa kizungu na...
17 Reactions
269 Replies
21K Views
Kutokana na uzee wangu, watoto wangu wote walishaondoka nyumbani na wako kwenye miji yao wakijitegemea. Wengine wameoa na wengine wameolewa. Changamoto iliyopo kwa hawa watoto, kwa sasa...
13 Reactions
57 Replies
805 Views
Mwenyekiti wa bodi ya amani amewehuka
0 Reactions
1 Replies
113 Views
Elimu yako, inakusaidiaje au itakusaidiaje katika kujiajiri na kutengeneza ajira kwa wengine? Sema ukweli, achana na mambo ya kujimwambafai na wingi wa vyeti. Karibu kwa mjadala.
7 Reactions
73 Replies
703 Views
Wachagga kuanzia mwaka 2027 , wamekubaliana watakuwa wanatumia majina ya kiasli yenye maana na kuachana na haya majina ya Mabeberu yasiyo na maana. Wazazi Gen Z wamekuja na majina yasiyo na maana...
7 Reactions
35 Replies
577 Views
Mjinga anatakiwa apuuzwe... Unakuta mtu anajibizana na fool na kurushiana matusi hadharani..sasa hapo wote tutawaona wajinga. #A fool is fool never change.
4 Reactions
18 Replies
242 Views
Kama video inavyoonyesha.
1 Reactions
6 Replies
150 Views
Kitu kimoja kizuri na cha kipekee kuhusu mwanadamu ni uwezo wa ustahimilivu...! Haijalishi siku imekuwaje au umekutana changamoto ni kubwa kiasi gani, kila unapolala na kuamka, unakuwa na nafasi...
20 Reactions
99 Replies
986 Views
Happy birthday Darling. I'm not good in writing sorry for this. To me wewe ni special gift and I always thanks God to have you🥰🥰. You know how much I love you. Mungu akupe maisha Marefu My...
5 Reactions
29 Replies
2K Views
  • Closed
realMamy Mallerina Seran mmekimbilia wapi
11 Reactions
23 Replies
374 Views
Mtoto ana biashara yake nzuri tu, pesa ipo, anamtumia pesa mama yake kila mwezi milioni 1, Mchungaji wa kilokole kampiga swaga mama wa watu, katika milioni anachukua laki 6. Gari zake ni za bei...
1 Reactions
2 Replies
110 Views
Mimi huo mwaka nimeamua sitak bifu na yeyote na sita ingilia faragha ya mtu kutoka leo.Niliowakosea naomba msamaha na maisha yaendelee na jukwaa lidumu. Natangaza aman kwa wote tusiish na chuk...
4 Reactions
2 Replies
112 Views
Ukijitoa out huwa unatumia kiasi gani cha pesa?
8 Reactions
72 Replies
1K Views
Kuna Yule member ambaye pindi unapokutana na thread ama comment yake mahali unaanza kwa kugonga like Kwanza kisha unatulia na kusoma vizuri alichokiandika kwa sababu unajua ameandika madini...
16 Reactions
136 Replies
2K Views
Nongo ninini? Taka za mwilini: Huu ni uchafu unaojikusanya mwilini, mara nyingi kutokana na jasho lililokauka na vumbi kwenye ngozi. Wengi wamekulia kwenye mazoea ya kwamba mwili huwa hautakati...
8 Reactions
52 Replies
674 Views
Wakusanye vijana wote wanaotafuta ajira, wape birika la kahawa watembeze maeneo ya vituo vya mabasi au maeneo yenye msongamano wa watu. Kusanya vijana wote wanaoenda kwenye mabanda kuangalia...
3 Reactions
39 Replies
254 Views
Kuna umri ukishafikisha pesa haitakiwi tena kuwa kipaumbele chako. Kwa sababu, kula yako inakuwa ni ya kawaida (kulinda mwili uwe na afya), usafiri ni wakawaida (miguu ipate mazoezi), pakulala pa...
5 Reactions
21 Replies
333 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…