Wakiwa kwenye mazoezi ya kuogelea, walimu walipata shida na mtoto mmoja wa kabila fulani kwani alikuwa analia sana akidai kuwa hawezi kuogelea kwa kuwa anaogopa kufa.
Mwalimu mmoja kwa kuwa...
Jamani nasikia eti wenye Hospital wanakosa kipato na karibu zitafungwa kwa kukasa Wagonjwa, hivi ina maana magonjwa nchini yamepungua ama yameisha ? pia wale waendesha maombezi nao wanalalamika...
hawajamaa kama utakua umewafuatilia kwa uhakika utagundua ni frimason live,angalia mazingira wanayoshinda na magoli wanayofunga utaamini kunakitu hapo,sio suala la kuacha kulijadili,tena hawa...
Jee nikwa nini tusiwe na vijana wetu wenyewe ktk JWTZ Zbar Badala ya makambi yote kujaa Wakuria?
Mimi nahisi hii ndio kutawaliwa ki-Jeshi na watu tusio wafahamu wala wasio na asili ya Zanzibar...
Kuna Mkulima ktk kijiji fulani alikuwa anasumbuliwa sana na panya, ili kujikwamua na tatizo hilo,akaamua kutega mtego na badala ya panya kunaswa, akanaswa nyoka, mara kuku akatokea na nyoka...
Babu Ambi wa Loliondo aliwaambia wagonjwa wakae kwenye mistari....wale wenye ukimwi mstari wao na wale wenye kisukari pia mstari wao. Watu wote wakajaa kwenye mstari wa wagonjwa wa kisukari...
Baba alimwambia mtoto wake, chukua hii sh. 500/=usimwambie mama yako kama nimelala kwenye chumba cha house girl.
Mtoto akasema, "Baba wewe ni bahili sana, mbona mama alinipa sh. 1000/=...
Crowds Come Over Roads and by Helicopters for Tanzanian's Cure-All Potion
By JEFFREY GETTLEMAN
Published: March 28, 2011
- He's a sensation in two countries. He's snarled traffic for miles...
Familia ilivyoanza kufilisika, mume alimwambia mkewe.
"Jifunze kupika ili tumfukuze housegirl"
mara moja mke naye amamjibu,
"Na wewe jifunze ku...(yaani kufanya sex) ili tumfukuze houseboy!"
This year, the number 1 will repeat up to 6 times at four different dates:
1-1-11...
1-11-11...
11-1-11...
11-11-11...
111 will also be repeated in your age if:
You take the last 2 numbers of...
Ndugu Zangu,
LEO NI SIKU YA WAJINGA, hata hivyo, ninachoandika hapa si utani wa Siku ya Wajinga. Ni jambo linalonikera, naamini, tuko wengi tunaokerwa juu ya namna media ya Tanzania...
Jamaa mmoja akiwa kwenye gari yake aliwaona watu wawili kando ya barabara wakila nyasi.Akamuamuru dereva asimame;akashuka na kwenda kuwahoji:kwa nini mnakula nyasi?Wale wakamjibu:hatuna hela ya...
Mwarabu mmoja(sayeed) kabla ya kufariki aliwaachia wosia wanawe watatu arkhad,khalfan na nadir kuhusu kugawana ngamia wake.alisema arkhad(first born) apate 1/2 ya ngamia wote,khalfan(second born...