Man united ni mafrimason

Status
Not open for further replies.

jerry monny

Member
Dec 6, 2010
94
0
hawajamaa kama utakua umewafuatilia kwa uhakika utagundua ni frimason live,angalia mazingira wanayoshinda na magoli wanayofunga utaamini kunakitu hapo,sio suala la kuacha kulijadili,tena hawa jamaa unapokua unaongoza kwa goli moja au mbili,sikuhiyo baada ya mechi lazima wachezaji wapewe treatment ya uhakika,kwani watakimbizwa hao mpaka wakome.goli zinaingia kiajabu wapinzani wanabaki kuduwaa utazani wamerogwa au wamepumbazwa.hawajamaa kweli noma yaani fulu frimason.
 
Umasikini wa fikra baada ya kushidwa...huwa ni mbaya sana...nenda mkajipange upya ni special treatment wala nini kiwango kidogo tu.
 
Wewe mwenyewe ni freemason...angalia hadi majicho yako yanavyoona ki-freemason

Siku hizi mmepatia chaka la kunyea, kila kitu free mason...bullshit

Lile soka baba na ule ni uwanja na dkk 90, sio altare (mimbari) wala jukwaa la Injili....kama vipi potezea
 
Na wewe jiunge mkuu..ile ni game na ina three options after 90 mins..why crack ur brain associating faith matters na phyiscal sports..japo wanasema mpira unadunda lakini matokeo yale umeyaona ya ajabu ukilinganisha na ubora wa timu zilizocheza na hata position zao?
 
Huu ulimbukeni ulioingia Tanzania siku hizi unatia kichefu chefu, yani kila kitu ambacho watu wanaona kiko nje ya uwezo wao basi kinakuwa associated na Freemason. Ndio maana hatuendelei kabisa.
 
Huu ulimbukeni ulioingia Tanzania siku hizi unatia kichefu chefu, yani kila kitu ambacho watu wanaona kiko nje ya uwezo wao basi kinakuwa associated na Freemason. Ndio maana hatuendelei kabisa.

Kwakweli inatia gadhabu na kuchefua. Watu wamesikia kuna kitu kinaitwa Freemasons ndo ishakuwa tabu tena.

Unashauri vipi mkuu, tuifute thread hii??
 
akili nyingine duuh! Sijui huwa na wadudu gani? Yaani mtu anaweza kuhusianisha vitu ambavyo kwa hali halisi haiji? Japo kila mtu ana haki ya maoni/mawazo lakini naona haya hayalengi ktk kutujenga wana jf labda kutufanya wendawazimu, kwani ni mfo.
 
Mti utoao matunda mazuri ndo ambao hurushiwa mawe kwa sana..)
s(&^&%*&(*&^%$nzy, who tod u 2b wherever u ar?
Glory Man U..)
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom