JF inahitaji memba awe kama mwanamume mwenye wake zaidi ya mmoja | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JF inahitaji memba awe kama mwanamume mwenye wake zaidi ya mmoja

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by The Prophet, Mar 30, 2011.

 1. The Prophet

  The Prophet JF-Expert Member

  #1
  Mar 30, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 682
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  why?

  lazima sasa kuwa na ID zaid ya moja kwa sababu unaweza kula ban any time ikala kwako.
   
 2. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #2
  Mar 30, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  Hiyo muhimu sana mkuu kama huna nyingine fasta tengeneza
   
 3. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #3
  Mar 30, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Ndio Nimetoka kifungoni leo nilikuwa kwenye kifungo cha mwezi mmoja, na nimekuwa na account 3. Lazima uoe mke mwengine hapa JF kama unataka kudumu muda mrefu
   
 4. kipipili

  kipipili JF-Expert Member

  #4
  Mar 30, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 1,499
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  ahaaa kumbe DA=AD
   
 5. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #5
  Mar 30, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Hizo Id zenu zote zinatoa mchango wa pesa jf au ndio mambo ya kujaza server.
  Aliyesema watu wajisajili kwa pesa alikuwa na akili. Inawezekana huu upupu ukapungua.
  Nina uhakika Id yako moja lazima itakuwa inatema pumba humu vingnevyo kusingekuwa na haja ya kuwa na id zaid ya moja.
   
 6. Al Zagawi

  Al Zagawi JF-Expert Member

  #6
  Apr 3, 2011
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,717
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  na kwanini ule ban mkuu...

  ni wazi utakuwa umekiuka sheria za mchezo...

  swali..je kuna mchezo usio na sheria?:help:

  shida hapa JF kuna watu ni lazima wachangie mada kwa kuwa wana fursa ya kufanya hivyo na si kwa sababu wanahitaji kuchangia....matokeo ni kuandika utumbo usio kifani...:angry:
   
 7. TUJITEGEMEE

  TUJITEGEMEE JF-Expert Member

  #7
  Apr 3, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 10,776
  Likes Received: 2,677
  Trophy Points: 280
  I was shocked the first instant when I read the thread title.....
   
Loading...