Wagonjwa na Nyumba za Maombezi

Wagonjwa na Nyumba za Maombezi

NNYAMBALA

Member
Joined
Mar 3, 2011
Posts
85
Reaction score
12
Jamani nasikia eti wenye Hospital wanakosa kipato na karibu zitafungwa kwa kukasa Wagonjwa, hivi ina maana magonjwa nchini yamepungua ama yameisha ? pia wale waendesha maombezi nao wanalalamika eti Waumini hawaendi, ina maombi dhambi zote tumezimaliza au wana lingine?
 
Una lako jambo wewe. Nenda KCMC kafanye tathmini kisha wahoji wenyeji (dr and nurses) kulikoni watakwambia kisa ni nini!
 
Loliondo, Tarakea, Mbeya na Tabora.....
 
hahahaha!! we ndo umeniamsha...maana leo kanisani kwetu japo ni moja ya makanisa makubwa lakini watu walikuwa wachache mno....halafu neno kuu la leo...BABA IKIWEZEKANA KIKOMBE HIKI KINIEPUKE.....

Ila nimeshangaa kusikia wakati wa maombi muhubiri anasema ''kama bwana ulivyosema kikombe hiki kiniepuke....na mimi nasema kibomoke kabisa...kikome kabisa....kikombe hiki kishindwe..sema Amen!
 
Back
Top Bottom