Bunge hili tukufu

IT Guru

JF-Expert Member
Feb 17, 2011
635
112
Waheshimiwa wa bunge la JF naomba tuanze mkutano. Spika kikao kianze
 
samahani Mh Mbunge wa ......umedondosha hirizi yako. angalia pembeni ya mguu wako wa kulia.
 
Naunga mkono hoja ....................japokuwa sijasoma wala sijaelewa kilichoandikwa
 
mh spika, sikubaliani kabisa na maelezo ya mh waziri kwenye kipengele hiki, lakini naunga mkono hoja kwa 100%
 
Mi siungi mkono hoja wala sipingi ila kitakacho amuliwa mi kwangu poa tu:lol::lol::lol::(:(:(
 
Kutokana na katiba ya jamvini kifungu cha kwanza ibara ya 9, kinasema. 'ukitaka kuunga honga bofya thanks hapo'
 
mh supika....usifanye maombi kwanza naona mh. waziri wa mambo ya hivyo hivyo ameuchapa usingizi

shukran mheshimiwa mbunge kwa kunikumbusha. Ila mimi sio muislam sitoweza kuomba dua. Ila kama mnataka maombi nitaomba
 
Sasa waheshimiwa wabunge tuanze kwa kuwasilisha hoja na dukuduku zetu hapa jamvini na kisha tuzijadili
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom