Mchagga na mtoto wa kipwani

Mchagga na mtoto wa kipwani

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,257
Reaction score
22,138
mchaga kapata mtoto wa kipwani,kwenda nae guest mwanamke kavua nguo shanga tele kiuoni. Mchaga: "YESU NA MARIA,HIZI ROSARI ZIMEIBIWA PAROKIA GANI?
 
hahahaa, ngoja wakusikie wenyewe. Watakufunja mbafu sa....mbafu sako kweli.
 
Back
Top Bottom