Misaada mingine bwana.

Jaguar

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,438
1,026
Jamaa mmoja akiwa kwenye gari yake aliwaona watu wawili kando ya barabara wakila nyasi.Akamuamuru dereva asimame;akashuka na kwenda kuwahoji:kwa nini mnakula nyasi?Wale wakamjibu:hatuna hela ya chakula.Akawambia wapande kwenye gari awapeleke kwake.Wale jamaa kuona wanaenda pewa msaada,wakaomba jamaa akawapitie wake zao wawili na watoto 13.Jamaa akasema haina shida,akaenda akawachukua wote.Akiwa njiani kuwapeleka kwake,mmoja wa wale jamaa akaamua kumshukuru kwa msaada mkubwa anaoenda kuwapa.Jamaa akajibu;kwa nini niwaache ndugu zangu mkipata shida na nyasi chafu za barabarani wakati nyumbani kwangu kuna nyasi ndefu zenye kimo cha mita moja!
 
EHEHEHEHEHEHE dah unataka kutanua mbav zangu asubui yote hii? hehe hii kali
 
Maskini weee! Na wkt walijua wanaenda kula burger! Ningekuwa mimi ningemfanya mbaya sana pamoja na njaa yangu
 
Maskini weee! Na wkt walijua wanaenda kula burger! Ningekuwa mimi ningemfanya mbaya sana pamoja na njaa yangu
Utafanyaje my friend wakati hata ukigoma utarudia kule kule barabarani kula nyasi?
 
ha hah aaaaaaaaaaaaa uwiiiiiiiiiiii mbavu zangu mie

wameruka mkojo wanaenda kukanyaga kinyesi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom