JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wakati marais mbalimbali wakiwa kwenye kikao huko Geneva nchini Uswisi kulitokea majigambo ya walinzi wa marais kati ya wale wa nchi zilizoendelea na wa nchi zetu hizi..... Mlinzi wa Rais wa...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
A husband and wife were trying to set up a new password to their computer. A husband, "Put 'MYPENIS' " and the wife fell on the ground laughing cause on screen was error, "Error. Not long...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Joe wanted to buy a motorbike. He doesn't have much luck until, one day, he comes across a Harley with a 'for sale' sign on it. The bike seems even better than a new one, although it is 10...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
MSICHANA: Kuanzia leo nitakwita Adam MVULANA: Kwa nini? MSICHANA: Kwa sababu wewe ndie mwanamume wangu wa mwanzo MVULANA: Kwa hivyo mimi kuanzia leo nitakuita Peugeot MSICHANA: Kwa nini...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mwalimu alimwuliza mwanafunzi kumjaribu uwezo wake wa hesabu. Mwalimu: Ukiwa na shilingi 5,000 na ukawambia baba yako akupe shilingi 5,000, utakuwa na shilingi ngapi? Mwanafunzi: Shilingi sifuri...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kama babu wa loliondo angekua anatumia sindano katika kutoa tiba yake tayari angekua ameona wezere la ,MAGUFULI,LOWASSA,,SUMAYE,ebu wataje wengne
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kuna taarifa huku mtaani mzee huyu nae alikuja kupata kikombe Loliondo, wenye taarifa ni kweli? Au ni promo ya tiba ya babu??
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kuna mzee fulani mwenyeji wa Mbeya alikuwa anajitahidi sana kuwahusia mabinti zake wawe na maadili mema na kila mara alikuwa akijisifia kwa wenzake kuwa binti zake si kama wa wenzake: si malaya...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Eti kisa cha Pweza (Paul) kufariki aliambiwa atabili ni lini Tanzania itafika kombe la Dunia? Akazimia mara 3 alipozinduka akakuta wameleta na jez kabisa atabili vizur akizimia tena na mauti kumkuta.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
The American book - How to Make Bigger And Better Elephants or: There's Money in Elephants The Canadian book - Elephants: A Federal or State Issue? The English book - Elephants I have...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Katika kijiji cha **** wananchi walijengea kisima cha kijiji Wakati wa uzinduzi wa kisima hicho Mh:Mizengo Pinda akaalikwa kuwa mgeni rasmi. Wakati akionyeshwa mandhari ya kijiji hicho akapelekwa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Mtoto ana ndoo moja yenye ujazo wa lita 5 na ndoo moja yenye ujazo wa lita 3.Yupo kisimani anataka kupima lita 4 za maji.msaidie jinsi ya kupima hizo lita 4 kwa kutumia ndoo zake mbili.
1 Reactions
56 Replies
6K Views
Ntoto weyee wallahi wanimaliza, unrefu kama nkarafuu, mashallah wang'ara kama embe boribo, nywelezo zinnyooka kama kamba za mibungo, kifua kintuna kama nazi koroma, miguuyo injaa kama ndizi ya...
7 Reactions
26 Replies
4K Views
Nimemtembelea rafiki yangu mmoja nyumbani kwake maana alinialika kwenye sherehe ya mtoto wake wa kiume kutimiza umri wa miezi sita. Nikashangaa kukuta Lori aina ya fuso linateremsha shehena kubwa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Tumia 9 sita kupata 100.
0 Reactions
16 Replies
2K Views
  • Closed
Wana Jf Naomba kuuliza swali kwani tumeone viongozi wa baraza la mawazili karibu wote wamegonga kikombe cha BABU,sasa swali langu ni kuhusu Mh Raisi wetu Jakaya Kikwete ni kweli amepata kikombe...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
  • Closed
Umekuja bila kuitwa
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakiwa kwenye mazoezi ya kuogelea, walimu walipata shida na mtoto mmoja wa kabila fulani kwani alikuwa analia sana akidai kuwa hawezi kuogelea kwa kuwa anaogopa kufa. Mwalimu mmoja kwa kuwa...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Jamani nasikia eti wenye Hospital wanakosa kipato na karibu zitafungwa kwa kukasa Wagonjwa, hivi ina maana magonjwa nchini yamepungua ama yameisha ? pia wale waendesha maombezi nao wanalalamika...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
why? lazima sasa kuwa na ID zaid ya moja kwa sababu unaweza kula ban any time ikala kwako.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…