Na Raisi Kikwete kagonga kikombe cha babu?

Status
Not open for further replies.

engmtolera

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
5,150
1,437
Wana Jf Naomba kuuliza swali
kwani tumeone viongozi wa baraza la mawazili karibu wote wamegonga kikombe cha BABU,sasa swali langu ni kuhusu Mh Raisi wetu Jakaya Kikwete ni kweli amepata kikombe cha BABU?

N a vipi kuhusu makamba
mwenye picha jamani atujuze
03_11_x7wetg.jpg

balelekandoro.jpg

Maige.JPG

pich.jpg
 
JK atakuwa alikuwa wa kwanza kwanza kabisa tena atakuwa alipewa bakuli kabisa sio kikombe...na nyingine kabeba ya kunywa jioni kama kahawa akiwa anajibu meseji za wananchi wanazomtumia....hahaaaa JK weeeeeeee....nakuonbuka bango lako la pale salender uko na bi mkubwa/Maza nashindwaga mpaka leo kupata connection ya ile picha na motives zako za kuwa prezida
 
Aapate kikombe asipate nyie inawahusu nini ni maisha yake binafsi hivi mnataka kila anapokwenda hospitali hata kutibu malaria atangazie umma acheni uvivu wa kufikiri nyie!!!
 
Aapate kikombe asipate nyie inawahusu nini ni maisha yake binafsi hivi mnataka kila anapokwenda hospitali hata kutibu malaria atangazie umma acheni uvivu wa kufikiri nyie!!!
Ni mkuu wetu wa nchi so tunahaki zote za kujua juu ya afya ya Rais wetu,na juu ya hili kuna haja ya kuelewa ili tuweze kupata nguvu ya kuelekea kwa babu

Mbona ktk issue ya kuhamasisha watu kupima ukimwi Raisi alituwakilisha na kuhamasisha watu wake kwenda kupima,hata ktk hili la babu litatusaidia kutupa nguvu na moyo wa kwenda kumwona Babu.lengo ni kuweza kujuwa kama Mh Rais amebariki KAZI YA MIKONO YA MUNGU KUPITIA KWA BABU
 
Aapate kikombe asipate nyie inawahusu nini ni maisha yake binafsi hivi mnataka kila anapokwenda hospitali hata kutibu malaria atangazie umma acheni uvivu wa kufikiri nyie!!!

wqe unajibu hapa inakuhusu nini kwani..si ungekaa kimya we vipi
 
Mswahili hasa mtanzania yupo radhi umnyime chakula lakini si habari inayohusu maisha binafsi ya mtu mwingine......but anyway rais kwa nafasi anajadilika. Alipoamua kuwa rais hapo alipoteza privacy ya maisha yake kasoro mambo yanayohusu utu wa mwili na mengine ya aina hiyo
 
na ukitaka kumnyima habari Mtz we iandike tu hatukuja kujuwa nini kiliendelea kwani ni mvivu wa kusoma,mi sioni kama kuna usiri hapo na ndio maana kuna picha zipo hapo juu za viongozi kuonyesha kuwa ni swala la kawaida lisilo hitaji kificho
 
Kikwete nasikia alikunywa kikombe kwa babu, baada ya kutoka hapo kilimchangamsha na moja kwa moja akaanza safari ya Kukagua Wizara kwa Kuanza na Hazina. thumbs up to babu!
 
alienda usiku, babu kampiga stop kuwa dawa haitolewi hadi asubuhi. kule hamna protokali za stet haus
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom