Hellow wana JF. Jamani kuna tetesi kwamba hapa nchini kwetu kuna namba za simu ambazo humilikiwa na mashetani ambapo ukizitumia kwa maana ya kuzipiga wanapokea. Hii imetokea mtaani kwe2 baada ya...
Ukiwa unaongea na mtu wa heshima toka bara kuwa umetembelea maeneo mengi zenj inabidi uwe makini na matamshi yake. Utasikia jambiani, bububu, mcha.. Wima... Endeleza
EDWARD LOWASA ALIKUSANYA MAASKOFU WA KKKKT KASKAZINI NA FAMILIA ZAO NA KUELEKEA KWA BABU KUNYWA KIKOMBE.
JAMBO LA KUSHANGAZA SUMMAYE ALIPOKWENDA KWA BABU HAKUNA ASKOFU ALIYEMSINDIKIZA.
LOWASA...
Wana JF, Mi nionavyo kuhusu foleni katika Jiji la Bongo ni kuchukwa maamzi makali ya kuamua kuzuia magari yenye kubeba abiria chini sita kuingia mjini. Pia na Sumatra kutoa leseni kwa mabasi...
samahanini, nimeshindwa kuiweka hapa ila kama itawezekana basi MODS waanisaidie ! kifupi tu nenda kwenye hiyo link hapo chini, utakapoifungua nenda kwenye Wimbo namba 99 imeandikwa FURAHININURU...
The old man had died. A wonderful funeral was in progress and the country preacher talked at length of the good traits of the deceased, what an honest man he was, and what a loving husband and...
Kuna kijana mmoja alienda kuungama kwa padre.Mojawapo ya dhambi zake ilikuwamo hii ...'Jana usiku nilikwenda beach nikawaona watu wawili wamelala nadhani walikuwa wana...nikawa nawamulika na tochi...
Traffic aliona gari akalisimamisha, akamuuliza dereva wa lile gari. Mbona namba za mbele ziko tofauti na nyuma? Dereva akajibu, Wewe sura na ****** yako vinafanana?
wacha niliweke kitafsida zaidi ..... swali ni kwamba why is it always "If a lock can be opened by more than 1 one key its a crappy lock But if a key can open many doors it's a master key!!!"...
Duh! Eti jaman kwa wale wanafunz wa udom nadhan miez imekaribia ya mama kudundu kuprovide service bt haonekan wakat miez dume imekaribia 2tasalimika kweli?
A man escapes from prison where he has been for 15 years. He breaks into a house to look for money and guns and finds a young couple in bed.
He orders the guy out of bed and ties him to a...
QUESTION:
"Where do the characters go when I use my backspace or delete
them on my PC?"
ANSWER:
The characters go to different places, depending on whom you ask:
The Catholic Church's approach...
haya wakuu tupeane updates jinsi pasaka inavojiri katika eneo lako so far. Hapa home kwa mbaaali namwona bimkubwa kama anachambua mchele ivi,ooh yeas naona na dada wa kazi anakata nyama pale....
It's an incentive to show up.
It reduces stress.
It leads to more honest communications.
It reduces complaints about low pay.
It cuts down on time off because you can work with a hangover...
Jamaa mmoja toka mkoa fulani alikuwa anachangia mada namna ya kupunguza wingi wa mavuno ya viazi kwa mwaka huo kwa kutafuta walaji zaidi (kuuza)jamaa anachangia: ndugu mwenyekiti tatizo letu ni...
SPEAKER:
Who among you had experienced having sex with a ghost? (A farmer
raised his hand). SPEAKER: Really? How does it feel to have sex with a
ghost? FARMER: Ooops, i thought you said goats!!
Jamaa alipiga simu ofisi ya makumbusho ya Taifa.
"Haloo hapo ni makumbusho ya taifa?
OFISI:Ndio tukusaidie nini?
JAMAA:"Ok, naomba mnikumbushe mwaka juzi saa yangu niliipoteza wapi?"...
Jamaa mmoja alirudi kutoa kazini ma mkewe kwa hasira akaanza kumuuliza
mke: Enhe, haya sema ulikua wapi leo siku nzima.
mume: Nilikua ofisini,
mke: mbona ulikua hupatikani hewani muda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.