Mpemba anapotongoza.

Globu

JF-Expert Member
Jan 12, 2011
8,571
2,068
Ntoto weyee wallahi wanimaliza, unrefu kama nkarafuu, mashallah wang'ara kama embe boribo, nywelezo zinnyooka kama kamba za mibungo, kifua kintuna kama nazi koroma, miguuyo injaa kama ndizi ya nkono wa tembo. He! Nifikirie mwenzio naumia mie..ee..ee.
 
Mkuu hii si umeipata HAPA?
 
Thanks shosti. Thanks jaluo nyeupe. Thanks X-PASTER.
 
Ntoto weyee wallahi wanimaliza, unrefu kama nkarafuu, mashallah wang'ara kama embe boribo, nywelezo zinnyooka kama kamba za mibungo, kifua kintuna kama nazi koroma, miguuyo injaa kama ndizi ya nkono wa tembo. He! Nifikirie mwenzio naumia mie..ee..ee.

say it again
simba2: wazembe 0
 
Duh! Hii kali. Niliwahi kupata na hii juu ya utongozaji wa Wapemba (samahani kwa kuvamia uwanja):

Geuka nti n-geuke komba nkuchapie
Gueka chungu n-geuke mwiko nkupakue
Geuka kitanda n-geuke ntu nkulalie
 
Ha ha ha haaah!!
 
Nimejitokeza mtoto wa UWANDANI PEMBA huyu jamaa kadanganya hatutongozi hivyo

Mkuu wenyewe wamesema wanavunja mbavu, huna sababu ya kujibu kukataa au kukubali nakushauri kubali yaishe tucheke pamoja, huu ni ule unaitwa utani wa jadi.
 
Jaman yaan ni kweli kabisa,
hao ndo wanavyoongea na hufanikiwa

Nyinyi ni shemegi zetu, tutaendelea kuudumisha sana Muungano kwa style hii msiwe na shaka, maadam Dada zenu wakikutana na Wapemba wanajiskia msihofu tutaendelea kuwatunza na kuwapa kila wanachokihitaji, haijalishi ni njia zipio tunazitumia kufikia lengo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom