Kisa cha Pweza Paul kufariki

mbweta

JF-Expert Member
Dec 10, 2010
600
81
Eti kisa cha Pweza (Paul) kufariki aliambiwa atabili ni lini Tanzania itafika kombe la Dunia? Akazimia mara 3 alipozinduka akakuta wameleta na jez kabisa atabili vizur akizimia tena na mauti kumkuta.
 
sio hvyo ndugu yangu,ni kwamba pweza alipata pesa nyingi sana south africa wkt wa world cup kwa kutabiri kwa ufasaha,so aliporudi baharini akajisahau, akawa kiumbe wa anasa kwa sana so akaukwa (hechi ai vii), so ndo kilichomuua!
 
Eti kisa cha Pweza (Paul) kufariki aliambiwa atabili ni lini Tanzania itafika kombe la Dunia? Akazimia mara 3 alipozinduka akakuta wameleta na jez kabisa atabili vizur akizimia tena na mauti kumkuta.

hahahahaha...duh alichokiona anakijua mwenyewe....nchi ya majuju...na maendeleo wapi na wapi? ukinipa mtihani halafu na hilo likawa swali nitachana karatasi na mwalimu atanipa A.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom