So simpo hata kwa ZERO!

So simpo hata kwa ZERO!

Hii mpya. Ngoja niende kunywa chai halafu nitarejea!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
napenda hesabu ila hii imenichosha,

lakini hapa vip 9.9*9.9+9.9-7=100
 
Duh kwa akina ngwini sie ipo kazi,nitarejea baadae.
 
Mang'ang'a na D5 mmejaribu,lakini mang'ang'a unapata 108 na D5 umetumia 7 ambayo haitakiwi.
 
Mang'anga'a unamuonea kapata ila D5 ndo katengeneza swali lake
kweli mkuu,sorry mang'ang'a upo right nilikurupuka ku judge.Ukipenda jibu hivi,[99plus(99/99)] au [(9*9) plus 9 plus 9 plus(9/9)].
 
Tumia 9 sita kupata 100.

Tumia jumla ya namba 9 sita ili zikupe jumla ambayo ni 100. Hufai kuwa mwalimu, mtu anaweza kukosa swali kumbe ni rahisi. Halieweki vizuri kulingana na presentation yako!
 
swali lilieleweka vizuri ila mi pale nilichemka ki ukweli
 
Tumia jumla ya namba 9 sita ili zikupe jumla ambayo ni 100. Hufai kuwa mwalimu, mtu anaweza kukosa swali kumbe ni rahisi. Halieweki vizuri kulingana na presentation yako!
jumla ya namba 9 sita ni(9plus9plus9plus9plus9plus9) ambayo ni 54,kama unadhani ni hivyo tumia hiyo jumla ambayo ni 54.
 
mi hizi naachana nazo, sitaki nionekane kilaza bureee
 
Tumia 9 sita kupata 100.

Angalia swali lilivyo rahisi...yaani una uwezo wa kujua kama muuliza swali anataka nini. Lakini cheki jibu sasa hapo chini.

napenda hesabu ila hii imenichosha,

lakini hapa vip 9.9*9.9+9.9-7=100

Yaani 9 -7 nayo ni tisa? sasa akili ya namna hii imeenda shule ya wapi??? Kuna utu uzima kweli hapa?????

Hivi wewe ukipelekwa kwenye advanced culculus si unajinyea!!!!
 
Back
Top Bottom