Leonce M.M.M.F
Member
- Apr 2, 2011
- 42
- 18
Hellow wana JF. Jamani kuna tetesi kwamba hapa nchini kwetu kuna namba za simu ambazo humilikiwa na mashetani ambapo ukizitumia kwa maana ya kuzipiga wanapokea. Hii imetokea mtaani kwe2 baada ya kijana mmoja jirani kujikuta akiwa matatani kwa kusumbuliwa na watu asiowajua usiku huku wakimpa pesa, na hii yote ni sbb ya ku2mia namba flani ya cm kama asemavyo yeye. Jamani kama kuna m2 amewahi sikia kitu kama hiki atufumbue macho mie yamenishinda.