swali

swali

Viper

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2007
Posts
3,666
Reaction score
1,407
wacha niliweke kitafsida zaidi ..... swali ni kwamba why is it always "If a lock can be opened by more than 1 one key its a crappy lock But if a key can open many doors it's a master key!!!"

kwanini funguo ipewe sifa ni master.. na kufuli lipewe sifa mbaya?
 
Who is safe between the one having the crappy lock and the one having the master key?anyway najua unaongelea tabia za jinsia mbili za wanadamu,sitaki kuelezea yupi crappy lock na yupi ni master key,sitaki vita na jinsia fulani.
 
tehetehetehehe....
 
kwa sababu funguo kila inapoingia na kufungua, lazima iachea alama kwa ndani
 
kwa sababu funguo kila inapoingia na kufungua, lazima iachea alama kwa ndani

Hii kweli kabisa,
Funguo inaingia tu... sasa wakati mwingine inaweza kuhusisha kutanua, kuvunja wakati mwingine.... pia kitasa kinachofunguliwa na funguo yoyote mwenye mali ataona hana haja nacho coz usalama hamna sasa.
Ila Viper, umewaza nini jamani?? Hala hala na TAMWA, TGNP hahahaha lol
 
Wakikusikia wenyewe wenye vitasa ambavyo kila funguo inaingia utajuta!
 
Back
Top Bottom