mahubiri ya kimaasai kicheko tupu!

mahubiri ya kimaasai kicheko tupu!

aaaah umenichekesha sana
asante hiyo web nilikuwa siijui
ubarikiwe
 
aaaah umenichekesha sana
asante hiyo web nilikuwa siijui
ubarikiwe
nimebarikiwa tangu nikiwa bado tumboni mwa maman hata hivyo nitakuwa mchoyo nisiposema AHSANTE!
 
kuna hiyo sura ya firstlady sijui kama ni yake kweli au laa maana yake ni nzuri kupita kiasi nimeipenda lakini kama naye yuko ivyo moyoni mwake ingependeza zaidi
 
Kaaazi kwelikweli!
 
kuna hiyo sura ya firstlady sijui kama ni yake kweli au laa maana yake ni nzuri kupita kiasi nimeipenda lakini kama naye yuko ivyo moyoni mwake ingependeza zaidi

mzee mbona umetoka nje ya thread?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom