Lowassa alitumia tiba ya loliondo kujisafisha kisiasa ndani ya kkkt. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lowassa alitumia tiba ya loliondo kujisafisha kisiasa ndani ya kkkt.

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Mwamakula, Apr 19, 2011.

 1. M

  Mwamakula JF-Expert Member

  #1
  Apr 19, 2011
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 1,893
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  EDWARD LOWASA ALIKUSANYA MAASKOFU WA KKKKT KASKAZINI NA FAMILIA ZAO NA KUELEKEA KWA BABU KUNYWA KIKOMBE.
  JAMBO LA KUSHANGAZA SUMMAYE ALIPOKWENDA KWA BABU HAKUNA ASKOFU ALIYEMSINDIKIZA.
  LOWASA NI MWANASIASA PEKEE AMBAYE ALIAMBATANA NA MAASKOFU WALIONGOZWA NA ASKOFU THOMAS LAIZER.

  LAIZER NDIYE ALIYETANGAZA KWAMBA KIKOMBE HICHO NI MRADI WA KKKT WAKATI ASKOFU ALEX MALASUSA HAJAWAHI KUKANYAGA HUKO KWA BABU NA WALA HAMTAMBUI BABU JAMPO WAMETOKA WOTE MKOA WA MBEYA.

  ALEX MALASUSA HAELEWANI NA LOWASSA KWA KUKUWA LOWASA ALIPANGA NJAMA ZA KUMWANGUSHA NAFASI YA ASKOFU MKUU BAGAMOYO.

  MALASUSA ALIKATAA KUAMBATANA NA LOWASSA KWA KUWA ALIJUA , KUWA TIBA HIYO IPO KISIASA ZAIDI NA SIO KIROHO KAMA LAIZER ANAVYOWADANGANYA WATU.

  LAIZER ALISEMA KKKKT IMEPELEKA MICHORO NA WANAPANGA KUJENGA JENGO KUBWA LAKINI MPAKA SASA HAKUNA HATUA YOYOTE NA BABU KAWAMBIA ANAHAMIA PORINI ZAIDI KARIBU NA MIZIMU.

  PAMOJA NA LOWASSA KUNYWA KIKOMBE HAJACHNGIA CHOCHOTE KUSADIA HATA KUCHIMBA CHOO.
  HATA KKKKT HAWAJA SAIDIA CHOCHOTE HAPO!!!\

  JUZI MAMA MZAZI WA ASKOFU THOMAS LAIZER AMEFARIKI BAADA YA KUNYWA KIKOMBE SASA WATU WANAHOJI UMAHILI WA KIKOMBE HICHO.

  KATIKA MAZISHI HAYO ASKOFU LAIZER ALIMUSAFISHA LOWASSA KWA KUSEMA KWAMBA LOWASSA ANAANDAMWA KWASABABU YA UNAFIKI NA MUNGU YUPO UPANDE WAKE.

  SASA INAKUWAJE MUNGU AWE UPANDE WA LOWASA AMBAYE NI MWIZI WA RICHMONDI???

  HATA KAMA LOWASA NI MUUMINI WA ASKOFU LAIZER NA ANATOA ZAKA BAADA YA KUTUIBIA , ANAPASWA KUTUBU NA KUFANYA MALIPIZO KWA KUREJESHA MALI ALIZOTUIBIA.


  TOBA NI LAZIMA IAMBATANE NA MALIPIZO!!!!


  KAMA KILA KIONGOZI WA DINI ATASIMAMA KUMUSAFISHA MUUMINI WAKE BASI NCHI ITAGEUKA YA KIDINI.


  KAMA ASKOFU LAIZER ALIKUWA NA NIA NJEMA KWA NINI ASIAMBATANE NA VIONGOZI WENGINE WANAO KWENDA LOLIONDO???


  KWA NINI ASIWATETEE AKINA ROSTAM NA CHENGE WALIOTOSWA PAMOJA????:whoo::whoo:
   
 2. G

  Gagnija JF-Expert Member

  #2
  Apr 19, 2011
  Joined: Apr 28, 2006
  Messages: 6,316
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  Askofu Malasusa hamtambui babu? Sidhani kama babu anahitaji kutambuliwa na binadamu yeyote. Babu anatoa tiba ya magonjwa sugu ambayo tiba yake haipatikani mahospitalini. kwa vyovyote mama yake Ask Laizer alikuwa na umri mkubwa kwa sababu Laizer mwenyewe ni mzee. Sasa kama alikwenda kwa babu kuepusha kifo tokana na uzee wake, atakuwa alipotea njia. All in all, it'll take more than babu's famous cup to cleanse brother edo.
   
 3. M

  Mwamakula JF-Expert Member

  #3
  Apr 19, 2011
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 1,893
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Mpaka sasa hakuna taarifa sahihi za kitaalamu zinazo onyesha kuwa kikombe cha babu kinatibu ukimwi!!!
  Wapo watu wengi ambao wamepata matatizo baada ya kunywa dawa hiyo lakini kutokana na maanuzi ya kisiasa bado inaendelea.
  Mke wa mkuu wa mkoa singida mama mary korne alifia loliondo mda mfupi baada ya kunywa dawa hiyo.


  Juzi mke wa katibu mkuu wizara ya mawasiliano alimtoroka mumewe na kwenda kunywa dawa wakati yupo bungeni na baada ya kunywa akaacha kutumia arvs na sasa amekufa!!

  Kikombe hicho kinaendelea kuua wengi lakini maamuzi ya kisiasa yanapotosha ukweli!!!


  Leo hii waziri wa afya akienda nje ya nchi na kuhojiwa kuhusu tiba ya loliondo , hawezi kueleza kuwa dawa hiyo inatibu nini zaidi ya ushirikina
   
 4. G

  Gagnija JF-Expert Member

  #4
  Apr 19, 2011
  Joined: Apr 28, 2006
  Messages: 6,316
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  And strangely, your president is among those who took this miraculous medicine. How does this feel to you?
   
 5. M

  Mwamakula JF-Expert Member

  #5
  Apr 19, 2011
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 1,893
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Sasa kama laizer alikwenda na mama yake kwa sababu ni mzee ,sasa kwa nini alikwenda na lowassa???

  Ilitiba wamesema ni ya kiroho na kwama ni mradi wa kkkt sasa inakuwaje , askofu mkuu asitemelee na kufahamu mradi wa kanisa??
   
 6. M

  Mwamakula JF-Expert Member

  #6
  Apr 19, 2011
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 1,893
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Dr slaa alimtaja lowassa kuwa ni fisadi , leo lowassa katoswa kwa sababu ya kutajwa twajwa na slaa kuwa ni fisadi

  sasa askofu laizer anamusafisha lawassa kwenye msiba wa mama yake na kusema mungu yupo pamoja na lowassa .

  Mimi nafikiri mungu yupo pamoja na slaa anaye fichua mafisadi

  huwezi kumusafisha lowassa . Amechafuka !!!  Kama lowassa anataka aanze ziara za mikoani kuimarisha ccm. Ni lazima atakwama mby, iringa, shinyanga , mara kwa sababu hakubaliki na huo ndio ushahidi kuwa hawezi kuwa rais 2015
   
 7. p

  punainen-red JF-Expert Member

  #7
  Apr 20, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 1,735
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Ndugu Mwamakula, mimi binafsi siamini juu ya kikombe cha babu.. Lakini haya maelezo yako mbona kama yana makengeza... Lowasa ni fisadi ndiyo lakini hujui kuwa ule ufisadi (richmond) wake unaojulikana zaidi kwa wananchi anabebeshwa hata ile share ya kikwete? Makosa ya dawa kutofanya kazi na watu kufia Loliondo nilidhani ni ya serikali kumbe ni Lowasa! Ikiwa waziri wa afya akiwa nje hawezi kujibu juu ya dawa hii ni tatizo la Lowasa si wizara husika na serikali kwa ujumla! Hivi hakuna serikali ktk nchi hii??? Tatizo liko kwa m-kwere, angekuwa safi hawa kina Lowasa wote sasa hivi wangekuwa ndani... Mi nadhani mashambulizi yote tuyaelekeze kwenye kichwa cha nyoka, kama kikwete hawezi kuwakamata mafisadi anafanya nini ikulu?!
   
 8. m

  mzeelapa JF-Expert Member

  #8
  Apr 25, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 1,034
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Niaminishe kwa ushahidi sahihi, unaoandamana na picha maana hata waandishi wa habari wangekuwepo au kwenda Oldivai Gorge ndio issue?? Mie naona hiyo ni coincidence tu kwamba alikwenda Loliondo kwanza.
   
Loading...