Wazenji walikosa majina ya maeneo?

Raia Fulani

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
10,876
2,744
Ukiwa unaongea na mtu wa heshima toka bara kuwa umetembelea maeneo mengi zenj inabidi uwe makini na matamshi yake. Utasikia jambiani, bububu, mcha.. Wima... Endeleza
 
Loliondo...Sumbawanga...Nzega...Gongolamboto...Mwembechai...Kijitonyama...Mnya-mwezi...Mnya-chusa we malizia tu.
 
Uliza kwanin walitumia hayo majina..kama sijakosea au kama nimekosea basi ruhusa kunirekebisha..ni majina yaliyotumika zamani enzi za biashara ya utumwa...Bububu imetokana na kelele za honi ya treni...kwani hapo mahali wanaita bububu ni mwisho treni. nitarudi kwa maelezo zaidi ya sehemu zilizatajwa..ngoja nipate :A S-coffee:
 
mh! Bado hujanikamata masikio. Yani treni ndo inalia 'bububu?'
 
Back
Top Bottom