JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Jamaa kakamatwa barabarani na trafic kazidisha speed DEREVA:Kunatatizo lolote mkuu? POLICE:Umezidisha speed mheshimiwa DEREVA:Ehh! kumbe POLICE:Naomba leseni yako DEREVA:Ningekuwanayo...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Sista do mmoja alikuwa anapenda sana maharage ya kopo(baked beans)shida ilikuwa kila akiyala baada ya muda anaharibu atmosphere vibaya mno.Sasa ikafika point kapata mchumba aliyempenda sana na...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
One afternoon a husband arrived home with sad news for his wife Husband: Wife, I just received a call, mother(mama) passed away. Shall we go to town and get some necessities for the funeral...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
A young girl is taking a bath, when she suddenly realizes she’sgrowing pubic hairs. She runs to her mom and says. "Mama I have hair growing on mycookie!!! Her mother tells her not to call it...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
kuna mwizi baada ya kuiba sana jirani na kwao akaona asogee kidogo sehemu ingine,usiku akaenda kwenye nyumba moja yenye ukuta akaona kimya,ukuta haukuwa mrefu sana akaona aruke juu na kushika mara...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Man: Darling, years ago you had a figure like a Coke bottle. Wife: Yes darling I still do, only difference is that, earlier it was a 300ml now it's a 2 liters. 300ml 2 liters.
1 Reactions
6 Replies
3K Views
jamaa moja alikua anatoa ushuhuda kanisani akasema hivi:shetani amenitesa kiseng....,sasa niko na yesu sitaki mambo ya kikum...tena!
0 Reactions
1 Replies
2K Views
http://www.facebook.com/update_security_info.php?wizard=1#!/photo.php?fbid=247853678562885&set=a.159755060706081.41361.100000147638557&type=1&theater
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Anayevaa kanga ya mamako asubuhi wakati wa kwenda kuoga ndo baba yako huyooo,mkubali tuuu,pole sana mtani wangu(simba)^-1=paka shume.
0 Reactions
0 Replies
981 Views
Mungu akubariki na akuangazie maisha bora na mafanikio mazuri kwa kila jambo unalofanya...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hii ingefaa kubaki kwenye jukwaa la siasa kwa ajili ya wanasiasa wetu, lakini kwa kuwa ni utani, hapa pia itafaa, lakini badala ya kucheka, naomba utafakari: Kuna mfalme mmoja aliamua kusafiri...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
One tourist from U.S.A. asked to villager from Kishmundu Moshi. Tourist: Any great man born in this village? Villager: No sir, only small babies!
0 Reactions
0 Replies
902 Views
Jamani nataka kununua Xtrail, lakini watu wananiambia eti ni mabovu, nimemuuliza aliye niambia kuwa mabovu kuwa yana ubovu gani anasema hajui ubovu wake, ila ameambiwa kuwa sio imara. Naomba...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Watoto wapo hospitali,mtoto wa kwanza kamwona mwenzie analia ikawa kama hivi:- MTOTO WA KWANZA:Unalia nini? MTOTO WAPILI:Nimekuja kupima damu MTOTO WA KWANZA:Ndio sababu unalia? MTOTO WA...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
kila siku najiuliza kuhusu adam na hawa , katika vitabu vyote vya dini vinaeleza kuwa sisi sote ni wana wa adam lakini inakuaje sisi waafrika tu weusi,au baba yetu adam au mama yetu hawa mmoja...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nimetokea kumpenda rafiki yake na mpenzi wangu wa zamani wa sekondari ambaye nimekutana naye chuo tofauti na huyo ex-girlfriend wangu.
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Msomaji wetu mmoja ametuandikia na kutuuliza swali ambalo limetuwia gumu kidogo kulijibu.Anasema, hivi karibuni alipokuwa nchini Tanzania(anaishi ughaibuni) alikuwa akisikia sana msemo wa mitaani...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Hawa wanachuo wamezuiliwa kuvaa suruali kutokana na na sababu wanazozijua wao uongozi,ila majuzi nimetembelea pale yaani nguo (vimini) zinazovaliwa,mi naona bora suruali.
0 Reactions
36 Replies
6K Views
Vichaa kutoka asylum moja wanapelekwa nchi jirani kwa ndege kucheza mechi ya kirafiki na vichaa wenzao huko. Kwenye ndege hakukaliki,mara huyu kamrushia mwenzie mpira,mara huyu ka inflate life...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Ukijumlisha miaka yako, mfano 19 na digit mbili za mwisho za mwaka uliozaliwa 1992 jibu litakuwa 111, basi hivi ndivyo ilivyo kwa watu wote mwaka huu, jibu lazima liwe 111, au 11 au 1. Hii ina...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…