Nataka kununua Nissan Xtrail Model 2002 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nataka kununua Nissan Xtrail Model 2002

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Bujibuji, Jul 7, 2011.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Jul 7, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,381
  Likes Received: 22,254
  Trophy Points: 280
  Jamani nataka kununua Xtrail, lakini watu wananiambia eti ni mabovu, nimemuuliza aliye niambia kuwa mabovu kuwa yana ubovu gani anasema hajui ubovu wake, ila ameambiwa kuwa sio imara.
  Naomba wenye experience na magari haya mnijuze kama ni kweli si imara au ndio naonewa wivu
   
 2. LebronWade

  LebronWade JF-Expert Member

  #2
  Jul 10, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,619
  Likes Received: 1,034
  Trophy Points: 280
  Yako poa tu,I owned one for 2 years now..Nissan haitoi madudu....ila wese buku 20,000/= per day minimum..mziki mnene baba hapo..kilo 6 kwa mwezi!......wese tu ndio naona issue..ila machine ipo poa sana,speed,confort,ipo kijanjaa!Nunua mzigo huo!
   
 3. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #3
  Jul 10, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  Na mwenye uzoefu na nissan patrol short chasis pia amwage hapa uzoefu wake..
   
Loading...